Matangazo ya DAWASCO hayana akili

halafu kuna sehemu wanasema "DAWASCO: TUTAKUFIKIA", hii kweli ni lugha ya kiabiashara jamani?
inamaana wanawatisha wateja ama vp?
kuna matangazo mengine jamani hayana kichwa wala miguu.
 
halafu kuna sehemu wanasema "DAWASCO: TUTAKUFIKIA", hii kweli ni lugha ya kiabiashara jamani?
inamaana wanawatisha wateja ama vp?
kuna matangazo mengine jamani hayana kichwa wala miguu.

soko huria wao haliwahusu. wanafanya watakavyo. si watu wa ruzuku wale?
 
kuna sehemu mtoto anamuambia baba yake asimuite yeye mwanaye kwa kuwa hakuna maji na mtoto anaamua kukimbilia kwa mama mji mwingine
 
Back
Top Bottom