Matangazo mengine yananifurahisha sana,....ebu imagine picha kama hii

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Imagine ishu kama hii
 

Attachments

  • Xmass 2010 079.JPG
    Xmass 2010 079.JPG
    379.8 KB · Views: 601
Mhh si bongo hii.....Mbona ka nembo ka Taifa kama kamekuwa inserted?
 

Sioni cha ajabu, haya ni mojawapo ya matangazo ya awali dhidi ya UKIMWI yaliyokuwa yakidhaminiwa na GTZ. Jamani huyo mdada (katuni) anataka kuhakikisha kuwa jamaa amevaa kabla hajamkaribisha kwenye honey pot yake.
 
ha hahaaaaaa nimempenda huyo dada, kaamua kutumia tochi kabisa , ha ha haaaaa uwiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeee
 
Nisamehe bure ...Maana badala ya kuangalia attachment nikjikuta kuiangalia avator yako....

Katuni pia imenifurahisha sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom