matangazo mengine nomaaa!

"Dawa ya mba, mende, kunguni, vipele, mapunye, dawa ya mba, fangasi, vipele, mapunye" natumai wengi mshalisikia hili tangazo. Sasa juzi kati nimekutana na h ii mpya. Dawa ya kuongeza hamu ya kuoga inaitwa "Ogasis" hii inaongeza hamu ya kuoga kwa wale wavivu wa kuoga.
Erickb52, Junior. Cux, Kingmairo, Mphamvu na Nyani Ngabu

Tafadhari emh ntoe hapo mapema kabisa kabla mashetani hayajanipanda, ohooo.!!! unanifananisha mi na platozoom...
 
Last edited by a moderator:
"Dawa ya mba, mende, kunguni, vipele, mapunye, dawa ya mba, fangasi, vipele, mapunye" natumai wengi mshalisikia hili tangazo. Sasa juzi kati nimekutana na h ii mpya. Dawa ya kuongeza hamu ya kuoga inaitwa "Ogasis" hii inaongeza hamu ya kuoga kwa wale wavivu wa kuoga.
Erickb52, Junior. Cux, Kingmairo, Mphamvu na Nyani Ngabu, Saint Ivuga, TANMO, Boflo, hii dawa itawafaa sana make ninyi tangu mmeoga wakati mnaenda Meimosi mkidhani mtachaguliwa kuwa wafanyakz bora mkachemka. sasa mwasubiri sabasaba!

Khaa! na mie umeniweka humu kwenye hii list ya kutooga wakati jana umenilamba 80% ya mwili usiku mzima! ina naama umeridhia ile kauli ya mapenzi ni ufachu sio?
 
Wapi papaa TANMO ujibu hoja,
ila umesahau mutu moja kubwa ya
kanda ya ziwa bana.
 
Khaa! na mie umeniweka humu kwenye hii list ya kutooga wakati jana umenilamba 80% ya mwili usiku mzima! ina naama umeridhia ile kauli ya mapenzi ni ufachu sio?

najuutaaaaaaaaaa........... mbona ndoa tarajiwa yangu na platozoom inaanza kuingia dosari!!!! jamani kwaherini nafunga threaddddddddddddddd
 
Last edited by a moderator:
najuutaaaaaaaaaa........... mbona ndoa tarajiwa yangu na platozoom inaanza kuingia dosari!!!! jamani kwaherini nafunga threaddddddddddddddd
kingmario mimi ndio ndiye niliyekuwa namhudumia alipokuwa Mirembe...najua amesahau kwa sababu ndio katoka kupata nafuu.......Usijali
 
Last edited by a moderator:
"Dawa ya mba, mende, kunguni, vipele, mapunye, dawa ya mba, fangasi, vipele, mapunye" natumai wengi mshalisikia hili tangazo. Sasa juzi kati nimekutana na h ii mpya. Dawa ya kuongeza hamu ya kuoga inaitwa "Ogasis" hii inaongeza hamu ya kuoga kwa wale wavivu wa kuoga.
Erickb52, Junior. Cux, Kingmairo, Mphamvu na Nyani Ngabu, Saint Ivuga, TANMO, Boflo, hii dawa itawafaa sana make ninyi tangu mmeoga wakati mnaenda Meimosi mkidhani mtachaguliwa kuwa wafanyakz bora mkachemka. sasa mwasubiri sabasaba!

aisifuye mvua, imemnyea..... i hope umeitumia na umeona result zake...hongera
 
me nlitumia ya mende na kunguni!

how comes ununue ya kunguni na mende halafu uisifie ya kuoga?? by the way mende na kunguni ni dalili ya uchafu so ulikuwa mchafu wakakupa hiyo ya kunguni na mende na hapo hapo wakaona kwa sababu prevention is better than cure hivyo ukimaliza hizo za kunguni uje upate hiyo ogasis.... jitahidi umalize dozi
 
jaman hayo yalikuwa matangazo na hzo cfa zilikuwa zinatolewa na muuzaji bt me nlvutiwa na dawa ya kunguni na mende. mwenzangu nyumba za kupanga me nliwakuta kungun na inasemekana hii nyumba ina maluweluwe hata hao kungun c wa kawaida
 
Back
Top Bottom