Matangazo haya mhmmm!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani wanaotengeneza matangazo ya biashara sikuhizi hawazingatii mahadili!! Kuna tangazo la ped za wanawake hali zingatii maadili uwezikusikia ukiwa nawatu uaoheshimiana au watoto.
 
Jamani wanaotengeneza matangazo ya bihashara sikuhizi hawazingatii mahadili!! Kuna tangazo la ped za wanawake hazi zingatii maadili uwezikusikia ukiwa nawatu uaoheshimiana nao.

Hebu liweke hazarani hilo tangazo mkuu.
na kipi hasa kinachokwaza kwenye hilo tangazo kaka?
 
Mficha uchi hazai kaka. Nyie ndio mnaambiwa mzungumze na watoto wenu before its too late, mnadai ni aibu kuzungumza, mambo yakishaharibika mnaanza kulalamika. Na ya condom je? Hayakukeri?
 
37000-30563.jpg
 
Back
Top Bottom