Matamshi ya Makamba yanakera

His words reflect his true self, so there is nothing new from his words nor will there be anything different from someone of his nature...never expects any less of such pathetic utterance....speech is governed by the inner self and mind, so if those are wanting, will an utterance be different? If that ever happens, it will be a miracle.....or at least he will break Guinness record that a dull mind has produced a wise speech...ignore him, since an old dog will never learn new tricks, he can never learn or change....kwanza change itamwondolea maslahi yake maana ndicho hilo anafikiria tu siku zote in what he says or does
 
Wakati Chama cha mapinduzi wakizindua maadhimisho ya miaka 34 ya chama hicho kongwe kejeli dhidi ya vyama vya upinzani ndizo zilizotanda na hasa madongo kwa chadema.Hakukuwa na lingine la kutafakari zaidi ya kila alieamka kuongea kuhusu uchaguzi mkuu na chama cha chadema chenyewe.Kulikuwa na viongozi wengi kama Makamu mwenyekiti wa CCM visiwani Dr Amani Karume,Makamba,M/kili CCM mkoa wa dar es salaam Ndg Guninita pamoja na katibu wake Kilumbe Ng'enda

Makamba alisema hivi namnukuu

1) Ushindi wa Jakaya kikwete wa kura Mil 5 dhidi ya mil 2 za dr slaa sio wa kubeza
na matokeo hayo yanaonesha kwamba Dr Slaa amejeuka mpangaji ndani ya
nyumba ya kikwete.

2) Dr Slaa atambue kuwa kashindwa..akauliza hivi mpangaji (dr slaa) anaweza
kumfungia mlango mwenye nyumba(kikwete)?

3) Kikwete ndio baba mwenye nyumba na hao wapinzani ni wapangaji tu na hao wabunge wa upinzani huko majimboni chumvi na binzari wanapata kutoka CCM

Akizungumzia kuhusu kupanda kwa nishati za mafuta,umeme na gesi alisema ni kitu cha kawaida akaongeza namnukuu " hapa sio peponi Mungu kasema kwa jasho lako utakula " .Kwa tafsiri nyepesi anasema kwamba- wale wanaolalamikia upandaji wa gharama hizo hawataki kufanya kazi ili kupata nguvu (purchasing power) ya kulipia bidhaa hizo muhimu.

Huyo ndio Makamba katibu wa Chama Cha Mapinduzi na chama kinachoshika dola tanzania.

Dah....well, nsije nkapigwa ban!...
 
Walipa kodi, mwacheni huyu Mzee wa watu...hata mwanae januari makamba alimuomba asiende kwenye jimbokumsaidia kupiga kampeni kwa kuwa alikuwa anajua atamharibia....Hivi wakumbuka alisema yeye hakuzaa wala kulea mbumbu..mtoto wake shurti awe waziri???

Kumbe waziri to be mwenye ni mtaalam wa feki za form iv wa enzi hizo..akiwa waziri si itakuwa balaa??
 
Back
Top Bottom