Matamko ya BAKWATA na UAMSHO ni dalili ya serikali za CCM legelege

Status
Not open for further replies.
Nyerere alitupa elimu ya bure. Wa Morogoro alipelekwa kusoma Moshi wa Moshi Mtwara na kadhalika. Yote hii kwa kodi zetu. Sishangai uchumi uliyumba lakini kazi ya kuondoa udini na ukabila ilifanikiwa. Acheni udini na ukabila.

Alitowa fedha mfukoni mwake? hiyo elimu ya bure imelisaidia nini Taifa mpaka leo zaidi ya kuliingiza kwenye lindi la umaskini.
 
Nyerere alijenga viwanda kuanzia viwanda vya nguo ie Sungura,Kiltex,Tabotex,Mwatex and ext,alijenga General tyre na vingine vingi.Marais waliofuta baada ya yeye kuondoka walifanya nini ???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Ukibahatika kusikliza mkanda wa video wa kikundi cha uhamsho cha Zanzibar yafuatayo yalijitokeza:
-Viongozi wakitaifa waliopo madarakani na wasitaafu walitukanwa na kukashifiwa waziwazi
-Vijana waliamasishwa kujitoa muhanga kupindua serikali ya Mapinduzi na kuvunjilia mbali muungano na mabongo yalikuwa yamebebwa yaliyokuwa yanaeleza kuwa muungano hautakiwi
- TCU na HESLB zilielezwa kuwa ni taasisi za kikafiri ambazo zinasaidia wanafunzi wa bara nakuendeshwa au kuongozwa na makafiri.
-Baadae waliitisha maandamano makubwa kupitia katikati ya mji kama hiyo haikutosha yakachomwa makanisa vilabu vya pombe ikiwemo ghasia za kuchoma matairi barabarani nk.
Ni serikali gani makini ambayo ianawanyamazia wahaini wa waziwazi watu wasiothamini imani za wenzao kwa kibuli kilichokithiri wanaharibu mali na kuhatarisha amani na utulivu wa raia wema.
Kama hiyo serika;li haijaenda likizo basi ni ukweli usiopingika kuwa hiyo ni serikali dhaifu
 
Unajua mtu akiwa na siri zako nzito hata akuombe mkeo unaweza kumwachia tu.
 
kweli serikali legelege,ndio maana waislamu wanafelishwa mitihani wahusika hawachukuliwi hatuwa yeyote,wanafunzi wa kiislamu (ndanda)wanaharibiwa masomo yao serikali legelege haichukui hatua,wanafunzi a kiislamu minaki walipochanganyiwa nguruwe kwenyw vyakula serikali legelege hazichukui hatua,mauaji ya waislamu mwembe chai,zanzibar serikali legeleg haichukui hatua.Ukiwa mkristo unakosa uwezo wa kufikiri na ku judge cjui nguruwe anawazuru au vp?kumsifia nyerere kuna haki gani kwa mtanzania mwenye akili timamu?mzee huyu amedumaza maendeleo y tanzania na raia wake,kawapumbaza w tz kwa 24yrs,sukari,unga,mafuta kwa foleni hata ukiw na pesa hupati huduma,kusafiri na gari mpaka akupe kibali,no infrastructure,no basic needs,nothng good in his time bado mnamfagilia kafiri mwenzenu,,ninyi jamaa mnamatatizo yasiyo na tiba.kwakuwa kalisaidia kanisa ninyi mmeridhika hata km mmelala na njaa,mmekosa tiba,no maendeleo,to hell, me mnaniudhi sana co siri
 
Nitajie kimoja alichokifanya ambacho tunaweza kusema ni "record" njema mpaka sasa. Ukishindwa kukitaja hapa ujuwe hana, ila unaaminishwa tu iwe hivyo.

"Record" nnayoijuwa mimi ni kuwa kakaa miaka 24 kwenye madaraka lakini hana kimoja cha maana alichoifanyia Tanganyika wala Tanzania.
Alihifadhi madini yetu ardhini ili tukipata elimu uwezo na nguvu tuchimbe wenyewe ''MAFIRAHUNI'' wame ingia wanauza kila kitu na mbaya zaidi wako tayari ku ua raia ili wauze madini na malighafi za taifa mpaka TWIGA anatiwa kwenye ndege Akiwa HAI,WE BADO HUONI TU?,Wenzio wamesema atakae hesabiwa kati yenu KHAFIRI wewe umeamuaje?
 
kweli serikali legelege,ndio maana waislamu wanafelishwa mitihani wahusika hawachukuliwi hatuwa yeyote,wanafunzi wa kiislamu (ndanda)wanaharibiwa masomo yao serikali legelege haichukui hatua,wanafunzi a kiislamu minaki walipochanganyiwa nguruwe kwenyw vyakula serikali legelege hazichukui hatua,mauaji ya waislamu mwembe chai,zanzibar serikali legeleg haichukui hatua.Ukiwa mkristo unakosa uwezo wa kufikiri na ku judge cjui nguruwe anawazuru au vp?kumsifia nyerere kuna haki gani kwa mtanzania mwenye akili timamu?mzee huyu amedumaza maendeleo y tanzania na raia wake,kawapumbaza w tz kwa 24yrs,sukari,unga,mafuta kwa foleni hata ukiw na pesa hupati huduma,kusafiri na gari mpaka akupe kibali,no infrastructure,no basic needs,nothng good in his time bado mnamfagilia kafiri mwenzenu,,ninyi jamaa mnamatatizo yasiyo na tiba.kwakuwa kalisaidia kanisa ninyi mmeridhika hata km mmelala na njaa,mmekosa tiba,no maendeleo,to hell, me mnaniudhi sana co siri
pole sana mwana ''uamsho''
BABA wa taifa si malaika kwmba haku kosea ila si kwa viwango vyako vya ki uamsho!,
Enzi zake huo uamsho ulionao na ulioshawishi wale wanafunzi wa ndanda kususia mtihani hali ya kuwa walipewa kila hitaji muhimu la ki islam ila kuna mfuga ''majini'' kila ijumaa akawa akiwasomea aya za majini kuwatia uwendawazimu na mwishowe wakajitumbukiza mtoni kwa kuziria paper HII HAIKUWEPO imeletwa na UDHAIFU wa DHAIFU na serikali yake.
Achana na mawazo mgando washauri wenzio waache kufuga mifugo haramu wenzenu wana fyatua vyuo na mahospitali nchi nzima KWA HUDUMA ZA KIJAMII nyie mnasambaza elimu ya mapepo mtafia hukohuko mapeponi.MSIPO PEWA RUZUKU (MFUMO KLISTO)2:
1a/ Hamjiulizi mna
a/ hospitali ngapi,

b/ shule na vyuo vingapi
USHAURI: MAJINI SI MTAJI.
 
Alihifadhi madini yetu ardhini ili tukipata elimu uwezo na nguvu tuchimbe wenyewe ''MAFIRAHUNI'' wame ingia wanauza kila kitu na mbaya zaidi wako tayari ku ua raia ili wauze madini na malighafi za taifa mpaka TWIGA anatiwa kwenye ndege Akiwa HAI,WE BADO HUONI TU?,Wenzio wamesema atakae hesabiwa kati yenu KHAFIRI wewe umeamuaje?

Usitake kudanganya watu, aliyahifadhi ardhini wakati hana uwezo hata wa kujuwa kuna nini ardhini? si angeihifadhi na kansa? mbona alikimbilia Ulaya kwenda kujaribu kutibiwa? kweli mnahangaika kutaka kumpa dikteta utakatifu asiokuwa nao. Sababu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom