Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

Status
Not open for further replies.
Hakuna mkiristo hata mmoja mwenye chuo kikuu, na hakuna mwenye cha kujivunia. Sio wazalendo toka enzi za uhuru, kazi ni ulevi tu.

Narudia tena kwa faida yako na wenzio wasiojuwa kusoma na hata kuangalia picha: kuna eckenford university, St mary's , Kampala int university, univesity na vingine vingi, na kwa waislam kuna bukoba muslim university na Agakhan university. Twende sawa.
Hakuna mkiristo hata mmoja mwenye chuo kikuu, na hakuna mwenye cha kujivunia. Sio wazalendo toka enzi za uhuru, kazi ni ulevi tu.

hakuna tajir hata mmoja mkiristo anaeweza kujenga na kuendesha chuo kikuu,hivyo vyuo vinavyosadikiwa kua ni vyakikiristo vipo vimejengwa na mashrika ya kikiristo from abroad and these org.have a right to keep under their supervision.that is all.

Terrorist mind hizi, kutegemea kusaidiwa kutoka nje. wakristo wanatumia fedha zao wenyewe kupata maendeleo unayoyaona. ingekuwa misaada inasaidi mbona Saudia inatoa misaada misikitini na sanasana inazidisha utekwaji tu wa misikiti?

Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.

Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .

Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.

Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.

Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?
Tatizo ni la kihistoria tangu zama za kabla ya uhuru, wakati wa kudai uhuru na baada ya uhuru. Pitia vitabu vya waasisi km cha mzee Sykes akielezea ushiriki wa waislam katika kupigania uhuru tangu miaka 1920! na siyo mwaka 1954 ya TANU utapata mwanga. Lakini kwa kufupi nakupa dokezo.. hivi kwa nini tangu enzi za uhuru utawala wa Nyerere haukutaka Misri igharimie ujenzi wa chuo kikuu cha kiislamu pale Chang'ombe... hivi kwanini serikali ilihamasisha uvunjwaji wa EAMWS na Tanzania Muslim welfare society, na badala yake ikaanzisha kwa mabavu BAKWATA na kusimika viongozi wake wasio hata na upeo mkubwa wa dini:, na iweje si rukhsa hadi sasa kwa sheikh au ulamaa raia wa nchi za nje kuishi na kuhubiri dini kwa uhuru nchini, ilhali mapadre wa katoliki kutoka mataifa kama mafilipino wanaruhusiwa kuishi na kuhubiri dini nchini kama raia huru wa tanzania hadi katika parokia na vigangwe vya vijijini kabisa, na kwa nini misaada ya kifedha kwa taasisi za kiislamu kutoka kwa marafiki wa nje ya nchi inawekewa mizengwe, hata ujenzi wa visima vya maji (mfano mkoani Tanga) unadhibitiwa kwa visingizio mbalimbali vya kijinga na kidhulma, huku kwa upande mwingine serikali inafikia hata hatua ya kuingia mkataba na kanisa la kusaka misaada ya kusaidia maendeleo ya kanisa! tafakari!

HAPO UMEMALIZA KABISA. Mimi NAONGEZA KUWA ILI UJUE WANAPENDELEWA WAGALATIA HAWA SASA WACHUNGAJI WANAINGIZA NA WANAUZA UNGA[dawa za kulevya] lakini serekali inawakamata wanaachiwa waendelee kuuza ili wajenge vyuo/kanisa zaidi.

st. Mary's universty, eckenford university, Ben wil Mkapa(muslim university), st Jones, kisanji university, sebastian kolowa university, na orodha inaendelea

Mkuu nashukuru kwa orodha ya vyuo vikuu

Tatizo ni la kihistoria tangu zama za kabla ya uhuru, wakati wa kudai uhuru na baada ya uhuru. Pitia vitabu vya waasisi km cha mzee Sykes akielezea ushiriki wa waislam katika kupigania uhuru tangu miaka 1920! na siyo mwaka 1954 ya TANU utapata mwanga. Lakini kwa kufupi nakupa dokezo.. hivi kwa nini tangu enzi za uhuru utawala wa Nyerere haukutaka Misri igharimie ujenzi wa chuo kikuu cha kiislamu pale Chang'ombe... hivi kwanini serikali ilihamasisha uvunjwaji wa EAMWS na Tanzania Muslim welfare society, na badala yake ikaanzisha kwa mabavu BAKWATA na kusimika viongozi wake wasio hata na upeo mkubwa wa dini:, na iweje si rukhsa hadi sasa kwa sheikh au ulamaa raia wa nchi za nje kuishi na kuhubiri dini kwa uhuru nchini, ilhali mapadre wa katoliki kutoka mataifa kama mafilipino wanaruhusiwa kuishi na kuhubiri dini nchini kama raia huru wa tanzania hadi katika parokia na vigangwe vya vijijini kabisa, na kwa nini misaada ya kifedha kwa taasisi za kiislamu kutoka kwa marafiki wa nje ya nchi inawekewa mizengwe, hata ujenzi wa visima vya maji (mfano mkoani Tanga) unadhibitiwa kwa visingizio mbalimbali vya kijinga na kidhulma, huku kwa upande mwingine serikali inafikia hata hatua ya kuingia mkataba na kanisa la kusaka misaada ya kusaidia maendeleo ya kanisa! tafakari!

Nafikiri tatizo si Serikali bali ni jinsi Uislam ulivyo wekeza Tanzania. Waislam hawana maono ya kuendeleza hata ummah wao zaidi ya omba omba kama ulivyo kiri hapo juu. Nyie hata Tende zinatoka umangani, sasa mtawezaje jenga visima?

Kuhusu kuruhusu Mapadre kufundisha dini mpaka vijijini hilo ni swala la kisheria ambapo Waislam mmeshindwa kuonyesha uzalendo mnapo ruhusiwa kufanya hivyo na kusababisha vurugu. Mfano angalia yule mjamaika ambaye anafukuzwa kila nchi aendae.

Mtakapo weza kujiheshimu wenyewe, nafikiri hata watu wengine ambao si Waislam watawapa heshima. Shule zenu za secondary zote zimeonyesha uwezo duni sana katika matokea yaliyo pita, je, mtaweza Universities?

Kijana una juhudi ya kuchangia kwa jazba hata kwenye kitu ambacho hukijui! Na ni wewe umeipotosha hii thread kwa makusudi au kwa ujinga.
Unaposema hakuna majina ya kiislamu unamaanisha nini? Unatoa mfano wa Abdallah.. unajua maana yake? Abdallah = Abd-Allah kwa Kiswahili ni Mja (mtumishi) wa Allah! Sidhani kama kuna mkristo anayemuabudu Allah..

Pia narudia tena, hii thread ilikuwa hailinganishi waislamu na wakristio juu ya kuwa na vyuo vikuu..Hilo halina ubishi TZ kuna vyuo vikuu vingi vinavyomilikiwa na taasisi za kikristo. Mada ilikuwa MATAJIRI wa kiislamu (wale wanaofadhili sana kwenye simba na yanga) Kwa nini hawajengi VYUO VIKUU? Wakati hili nalo halina ubishi, tulitoa challenge hapa kuwa sio matajri wa kislamu tu, hata wa kikristo TANZANIA hawafanyi hivyo..tutajie tajiri/matajiri wa kikristo WANAOMILIKI VYUO VIKUU TZ...........

Msilete ubishi wenu wa kiharakati hapa!

Mkuu umeweka mambo sawa, kweli huyu jamaa anataka kupindisha thread na kuanza kulinganisha Ukirsto na Uislam.

Hizi thread za kidini zinaniboa na kuniogopesha. Zinadalili za wahutu na watutsi scenario.

Anyway, sijui matajiri binafsi wanaochangia sana kwenye huduma jamii kama vyuo na hospitals.

However, The Catholic Church and The Ismail Council under the flagship of Aga Khan, have contributed to some of the finest schools and hospitals.

Kwa hiyo ngoma droo.

In addition, both the Catholics and the Ismailis have one thing in common, moderate views. Ndio maana wako successful.

Nyie maextrimist wa dini zote mbili angalieni hayo madhehebu mawili yalivyofanya na muanza kuangalia mema ya watu. Mnaudhi sana wote!

Umelazimshwa kuja hapa? Mtoma mada kazungumzia Matajiri wa Kiislam weye unakuja na institutions both za Kikristo na Islam. Kaazi kweli kweli. Bakia kwenye mada kama unaweza.

Na wewe nawe. Nimesoma posts zote kabla sijapost. I saw where the mada was going. And I specifically said siwajui watu binafsi, but HOWEVER...
The point is to tell people like you tuache kucheza na dini. But tujiulize, ni Mtanzania gani amefanya vema kwa jamii.

Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.

Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .

Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.

Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.

Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?

tatizo ni sera kandamizi dhidi ya Uislam huko Tanganyika. Mbona zanzibar wanajenga na tujiulize vipi bara.

tatizo kubwa ni UDINI uliopo miongoni mwa jamii za watu wa Tanganyika katika kuhakikisha uislam unakuwa Duni.

lakini napenda kuuliza ni tajiri gani mkristo huko Tanganyika aliyejenga chuo ?

Pelekeni fikira zenu potofu huko kwenye jukwaa lenu.

Who do you think Karim Aga Khan is? Mbona kajenga shule nzuri ambazo watoto wa dini zote wanasoma na kupata elimu nzuri.

Na wewe nawe. Nimesoma posts zote kabla sijapost. I saw where the mada was going. And I specifically said siwajui watu binafsi, but HOWEVER...
The point is to tell people like you tuache kucheza na dini. But tujiulize, ni Mtanzania gani amefanya vema kwa jamii.

Wewe ulifikia kuita watu extremist au umesha jisahau? Ndio maana nikakuuliza umelazimishwa kuja hapa? Maana, wewe ulitakiwa au weka jibu linaloendana na mada au kama huna just read, lakini ukaaza attack na kufananisha Catholics na Ismailia. Sidhani mweka mada alikuwa anaelekea ulipo kuwa na unapo elekea kulinganisha instituion zaidi ya kutaka kujuwa kwanini Matajiri wa Kiislam hawajengi vyuo vikuu.

tatizo ni sera kandamizi dhidi ya Uislam huko Tanganyika. Mbona zanzibar wanajenga na tujiulize vipi bara.

tatizo kubwa ni UDINI uliopo miongoni mwa jamii za watu wa Tanganyika katika kuhakikisha uislam unakuwa Duni.

lakini napenda kuuliza ni tajiri gani mkristo huko Tanganyika aliyejenga chuo ?

Kwahiyo zenji kuna VYUO VIKUU VILIVYO JENGWA NA MATAJIRI WA KIISLAM? Can you name them please?

Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.

Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .

Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.

Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.

Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?

Thank mkuu, nafikiri jamaa zetu hawapendi elimu.

Wewe ulifikia kuita watu extremist au umesha jisahau? Ndio maana nikakuuliza umelazimishwa kuja hapa?

Brother Aswad,

Mtu aliyeniuliza hapo juu goes by "Error 404". What do you mean kuwa: ndio maana ukaniuliza?
Kwani wewe ndio Error 404 au aliniuliza kwa niaba yako mkuu.

Tutajie chuo kikiuu hata kimoja kilichojengwa na matajiri wa kikristo wazalendo wa Tanzania. Tuanzie hapo kwanza kabla hujatoa shutuma kwa wengine!
Chuo kikuu cha tumaini Iringa, Dar, Secuco,Stefano Moshi ilitembezwa harambee ambapo kina Mengi, Mkapa, Sumaye walihudhuria kwenye baadhi ya hizo sherehe. Bakuli liitembezwa hata mimi nilichanga. KKKT Morogoro wanampango wa kujenga chuo kikuu na taasisi kubwa ya elimu, matajiri wa kikristo waiitwa walichanga.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom