Tanzania inamatajiri wengi sana wa Kiislamu ambao ni mashabiki wa vilabu vikubwa vya Simba na Yanga.
Matajiri hawa wa Kiislam wanauwezo wa kutoa dolari laki moja, mbili na zaidi ili watu waingie kwenye mtanange viwanjani .
Cha ajabu, mimi sijasikia hata mara moja Matajiri hawa wa Kiislam wakitoa dolari kujenga vyuo vikuu na au maospitali nk.
Hivi tatizo lipo wapi kwa matajiri wa Kiislam katika kuendeleza ummah? Mbona Matajiri wa Kikristo wapo mstari wa mbele kujenga vyuo na mahospitali.
Wanajamii tatizo ni nini kwa matajiri wa kiislam?
waislam wamezibwa juu na chini. wakiristo wanapata misaada kutoka vatican,