Matairi yokohama 205/70 na rim r15 mpya zimetumika 20kms

kaygeezo

Senior Member
Jul 31, 2008
193
10
TAIRI MPYA KABISA NA RIM ZAKE YOKOHAMA KUTOKA JAPAN NIMETUMIA KM 20
SPECS MATAIRI:
205/70
YYY2603
ICE GUARD

SPECS RIM:
R15

BEI RIM 1 80,000
TAIRI 1 150,000
UKINUNUA RIM + TAIRI 200,000
NAPENDELEA KUUZA VYOTE KWA PAMOJA

NI PM KAMA UPO SERIOUS
PICHA ZIPO ATTACHED
0754964911
kaijage@live.com
IMG-20110823-00033.jpg IMG-20110823-00033.jpg IMG-20110823-00045.jpg IMG-20110823-00041.jpg IMG-20110823-00039.jpg IMG-20110823-00038.jpg
 
Yanaonekana yame expire?kwa sababu yametengenezwa mwaka 2003 so baada ya miaka sita hata kama hayakutumika yanakuwa hayafai tena.
 
Yanaonekana yame expire?kwa sababu yametengenezwa mwaka 2003 so baada ya miaka sita hata kama hayakutumika yanakuwa hayafai tena.
Haya yanatumika 10 years ,nina guarantee from YOKOHAMA JAPAN.
 
Back
Top Bottom