Mbona nimeweka price list ya matairi kwenye hii posti. soma page ya 2 utaona posti ya price list.Nadhani ungeweka chat ya size na bei, hiyo ingerahisisha
Mbona nimeweka price list ya matairi kwenye hii posti. soma page ya 2 utaona posti ya price list.
Price list ya Bridgestone tyres ni kama ifuatavyo. (Bei ni kwa tairi moja)
155R12C- 150,000/
175/70R13- 160,000/
175/70R14- 175,000/
185/65R14- 180,000/
195/70R14- 200,000/
195/65R15- 215,000/
205/65R15- 245,000/
205/70R15- 280,000/
215/75R15- 350,000/
215/80R15- 350,000/
265/70R15- 440,000/
205/50R16- 280,000/
205R16- 340,000/
215/70R16- 310,000/
225/70R16- 360,000/
225/75R16- 390,000/
235/60R16- 340,000/
235/70R16- 360,000/
235/75R16-360,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16- 430,000/
255/70R16- 430,000/
275/70R16- 450,000/
225/65R17- 360,000/
245/75R17- 460,000/
285/65R17- 520,000/
275/65R17- 520,000/
285/60R18- 620,000/
SUPER SINGLE TYRES - 385/65 R225- 1,070,000/
Mengine kama sijaweka hapo mnitafute inbox, au kwenye simu. 0689866100
zipo 195/55R15- bei yake 245,000 kwa moja. zimebaki chache.Nilikua na shida na 195/60R15 au 195/55R15, je yapo na bei ikoje?
Hizo tumeishiwa kwa sasa.Size 195/75/15 yapo? na bei gani?
Mkuu, tairi zipo???Hizo zipo mkuu, bei yake ni 370,000 kwa moja. ntakufanyia discount 330,000 kwa moja kama unachukua nne.
Njoo ofisini msasani tumalize biashara.
Tairi zipo mkuu.Mkuu, tairi zipo???
Kuna mtu nimemuagiza aje hapo... Anasema huna tairi mkuuTairi zipo mkuu.
zipo zimeshapatikana mkuu.Kuna mtu nimemuagiza aje hapo... Anasema huna tairi mkuu
Nunua gari kwanza mkuu, ndio urudi hapa utaelewa tu..Sielewe kitu
hizo zimeniishia mkuu. zikija stock mpya ntakutaarifu.Mkuu mi nataka 185/65R 15 ya Ist old model - moja sh. ngap na je 4 utanipunguzia ngap?
Je rim unazo pia.?
hizo zipo mkuu, bei yake ni 200,000 kwa moja. ntakufanyia discount 180,000 kwa moja.Tairi 185/70/R14. Bei gani?
tunazo 255/70R16 bei yake ni 468,000 kwa moja. ntakufanyia discount 400,000 kwa moja.Nina gari vx ream size 16.
Huwa napenda tairi pana.
Hebu pendekeza tairi ambazo ni all terain.