Matairi fake 6000 yakamatwa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Tume ya ushindani wa kibiashara nchini imekamata matairi ambayo yanadhaniwa kuwa ni fake kwenye soko la tanzania,matairi hayo ya pikipiki yamekamatwa Dar es Salaam tu,,,,,,,
sosi:jamboleo
wadau ajali zinasababishwa na mambo mengi sana na hili likiwepo,kama soko linatawaliwa na mairi fake basi tumekwisha.
 
Wameshaifanya Tanzania kama dampo lao, mazagazaga ya kila aina toka kona mbali mbali duniani ikiwemo vyakula, vipodozi n.k. vinashushwa bongo...Buyer beware!
 
Hata sijui tutakimbilia wapi! Hii nchi ni kama tenga la machungwa afu tunachotea maji! Yanavuja kila upande! Aaagghhhrrr, dawa ni kusuka upya na kubadili matumizi!
 
Leo?Mbona siku nyingi tu mambo hayo yanaendea na si matairi tu!!! nchi haina mwenyewe hii
 
Hapo Ujue Riz1 naye keshajiingiza kwenye hiyo Biashara basi kazi yake kuwafanyia washindani wake fitna tu kama anavyofanya kwenye Biashara zingine
 
Kwa uzembe huo huo wa shirika la viwango tanzania ndio uliopelekea ajali ya mbunge wa rombo na kusababisha vifo vya watu kadhaa. Matairi ya gari mapya kabisa yalipasuka kwa sababu ya poor quality
 
Our beloved country is now a contry of no one. Everyone in this world is the owner of tanzania. Immefanywa kuwa shamba la bibi men
 
ukipenda vya rahisi jitaarishe kuwa dampo la kila mjanja!
jiulize kwa nini tumeshindwa kumudu bei za piki piki za kijapan,tukaweza za kichina??!!
kwa nini tumeshindwa kumudu bei za taizi za italy na spain tukamudu za china??!!
kwa nini tunashindwa kufunga tyre kama michelin,dunlop,tunanunua hung hang'aa au sinho binyo!!
kwa nini hata ****** ya wanawake ya kichina tunababika nayo kuliko yale original??!!
tatizo ni akili ya mtanzania aliekuwa tayari kununua kitu feki hata mara tano kwa mwaka wakati kwa gharama hiyo hiyo angenunua original angedumu nacho miaka mitatu!
tunahitaji mtu atupapase kila kona ili tushtuke kidogo,fedha mnazo matumizi hamjui,na hata mukizipata zinaishia kwenye ulevi!
tanzania juu hii nchi ina kila sababu ya kutoendenelea,namaanisha kuendelea!
 
Back
Top Bottom