Maswi ahidi kubadili utendaji wa Wizara ya Nishati na Madini

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Nishati na Madini ana mkakati mkubwa wa kubadili utendaji wa wizara hiyo na kuifanya kuwa na ufanisi mkubwa kwa kuifanya Wizara kuwajibika ipasavyo. Tetesi za ndani ya wizara zinasema kuwa jamaa amesema kuwa hatawavumilia wazembe. Je ataweza mwenye CV yake atujuze.
 
Apunguze ujuaji na mambo ya show off '' nilikuwa naongea na simu na prezidaa, mara aah nilikuwa nachat na PM.................
 
Wataalamu kaeni standby huyu jamaa ''anajua '' kila tu...................Nitafurahi sana kama ataondoa kutokuwajibika
 
Back
Top Bottom