maswali

nolakinabo

Member
Feb 5, 2012
24
0
jaman ndugu zangu nataka kujua hivi huwa serikali ni nani mpaka leo sielewi Mara serikali imekataza hiki majibu
 
Kuna serikali nyingi, kuna serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu, kuna serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na serikali zingine.

Wewe unaulizia serikali ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom