Maswali yanayoniumiza kichwa

FarLeftist

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
363
20
Tanzania kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukisumbuka na swala zima la nishati ya umeme...
kama tutakumbuka mgao umeanza takriban wiki moja tu baada ya kutangazwa matokeo ya Uraisi kwa nini muda hou? hapo hapo baada ya wiki mbili linakuja swala la dowans kushinda kesi dhidi ya tanesco na kutakiwa kulipa zaidi ya bilioni 100 sawa na bei ambayo dowans walitaka kuiuza mitambo hiyo hapo nyuma.....

Je? swala la mgao huu wa sasa na kushinda kesi kwa dowans yanauhusiano?
kama hayana uhusiano kwa nini haya mambo yanakwenda kwa series zinazofuatana?
Je? kama dowans wakilipwa fedha hizo zitakwenda kwa nani?
najaribu kujiuliza tu.....
 
simple

Pension funds zifanye kazi ya kutuletea umeme

Keshokutwa tunatimiza miaka 50 basi walau tuwe na umeme nnchi nzima. Songosongo tumeambiwa tuna gesi ya kututosheleza miaka 400 ijayo sasa its about time tukaanza kuangalia resources from within kufund hii miradi
 
Back
Top Bottom