Maswali yaliyomfanya Nape azomewe Kakola-Bulyanhulu

Kitu kingne alichosema Nape hapo kakola ambacho ni cha kijinga kwa kujua kuwa hakuna atakayeripoti ni hchi hapa: alisema hvi, jamani msiwasikilize akina Slaa hao wanasumbuliwa na njaa tu, jamani kuna mtu alikuwa mpinzani kama Maalim Self zanzibar? Lakn leo yuko wapi? umempa serikali ya umoja wa taifa na sasa kashba ananyoa ndevu tu. Jamani njaa ni mbaya. Mwisho wa kunukuu
nape bwana, eti maalim ameula serikalini kelele zote pyuuu! Labda kweli, lakini mbona na yeye alikuwa mkali sana kwa akina lowasa na cku hizi hasikiki au ameshapata kamgao kake na yeye sasa ananyoa ndevu?
 
ushauri wangu watu tuwe tunajitokeza kwa wingi mkutanoni alafu akihutubia kamadak 5 tunaanza kuimba peiple power,tunachomowa bendera zetu za chadema,huku tukiwazomea watukome
 
?Wangemuuliza huyo nape ccm ndio chama kinachoongoza kwa kugawa rushwa katika chaguzi ,je sisi kuna haja ya sisi wananchi kuendelea kukiamini
 
Hivi nape anadhani anaweza kukinusuru hiki chama kwa hapa kilipofikia? Labda kama naye anaganga njaa tu.
 
nape bwana, eti maalim ameula serikalini kelele zote pyuuu! Labda kweli, lakini mbona na yeye alikuwa mkali sana kwa akina lowasa na cku hizi hasikiki au ameshapata kamgao kake na yeye sasa ananyoa ndevu?

Kuna point katika bandiko lako mkuu. Chukua thanks yangu na like pia!
 
Serikali dhaifu ya wezi na waporaji including Nyape a.k.a Nepi a.k.a Nape wanaotumia muda wao wa thamani kumsikiliza nao wana kasoro kidogo katika fikra. Huwa sipotezi muda wangu kusikiliza hotuba za Mr dhaifu itakuwa Nape?
 
ushauri wangu watu tuwe tunajitokeza kwa wingi mkutanoni alafu akihutubia kamadak 5 tunaanza kuimba peiple power,tunachomowa bendera zetu za chadema,huku tukiwazomea watukome

Hizo zitakuwa ni fujo.............Mimi siungi mkono maandamano, kuchoma makanisa, kubomoa misikiti na kufanya fujo. Na ninapokataa kuunga mkono vyama vya upinzani si kwamba sivipendi la hasha... Navijua kwa undani sana. Ipo siku nitatoa ushahidi ni kwa nini siikubali chadema ama nccr au cuf ama TLP au UDP. Nina siri nzito!
 
Nape amekuwa baba ndani ya CCM, nani mama sasa? Hayo maagizo anayotoa kwa watendaji wa Serikali anayatoa kama nani?
 
Toka lini kiongozi wa CCM akawa na uwezo wa kujibu maswali papo kwa papo, Mr. Dhaifu alisepa mjadala na Makamba kuzuia wagombea wao kuhudhuria midahalo, kuogopa aibu. Akili za kukariri ndio zinamshinda hata Pinda bungeni hizi, anaishia kulia.

.
Masuali ya papo kwa hapo kidogo yamtoe mh Pinda nyongo aliposema Zanzibar siyo nchi. Sisiem inaendeshwa kiutapeli kwa hiyo ndani ya chama ukiwa muwazi na mkweli utaharibu kila kitu. Ni kama chama hiki kimeshikiliwa na super glue vile. Ona nape anaulizwa kuhusu serikali yake kuwekwa mfukoni na jibu lake linathibitisha kuwa ni kweli maana serikali ya ccm inafahamu kufukuzwa kwa hao watu sita ila hawana uthubutu wa kuongea na mwekezaji. Ni ile 10% inawakosesha ujasiri katika mkataba inawakosesha ujasiri?
.
 
Hivi wewe uliyeandika uzi huu umeuchambua sawasawa? Hao watu wanaong'ang'ania na kupiga makelele mawaziri wafungwe umewaona na kuwachunguza upeo wao wa uelewa? Yaani unadiriki kusema eti wakaanza kuimba "people's power", maana yake CHADEMA ndo itakayowakomboa? Usidanganywe kabisa...... Tena tafakari kwa umakini. Fanya hivi:- Waambie watu wa Kahama kwamba ukifika wakati wa uchaguzi wa kutafuta viongozi wa CHADEMA wajaze fomu kisha wagombee nafasi ngazi ya Taifa. kisha akipatikana Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mwenyekiti Taifa CHADEMA na viongozi wa ngazi za juu kitaifa za CHADEMA kutokea KAHAMA ndipo tutaamini kuwa ukombozi umekaribia... La sivyo kuchagua CHADOMO ni HASARA bora Mkoloni arudi kututawala! Usiku mwema.

Kwa wale tuliopata kukaa Kigoma tunajua maana ya Malyenge, hivyo sio kosa lako isipokuwa hao ccm waliokufanya uwe malyenge!!
 
Last edited by a moderator:
Hizo zitakuwa ni fujo.............Mimi siungi mkono maandamano, kuchoma makanisa, kubomoa misikiti na kufanya fujo. Na ninapokataa kuunga mkono vyama vya upinzani si kwamba sivipendi la hasha... Navijua kwa undani sana. Ipo siku nitatoa ushahidi ni kwa nini siikubali chadema ama nccr au cuf ama TLP au UDP. Nina siri nzito!

Hakuna mwenye uhakika na kesho. Kama unajiamini na siri yako nzito itoe hapa wote tuchambue na isaidie watu kuamua
Oherwise funga mdomo kuwa una siri nzito
 
Nape ni mtu wa pumba siku zote.katibu mwenezi wa chama,anapata wapi authority ya kumuagiza waziri?siasa uchwara hizi.
 
Hivi wewe uliyeandika uzi huu umeuchambua sawasawa? Hao watu wanaong'ang'ania na kupiga makelele mawaziri wafungwe umewaona na kuwachunguza upeo wao wa uelewa? Yaani unadiriki kusema eti wakaanza kuimba "people's power", maana yake CHADEMA ndo itakayowakomboa? Usidanganywe kabisa...... Tena tafakari kwa umakini. Fanya hivi:- Waambie watu wa Kahama kwamba ukifika wakati wa uchaguzi wa kutafuta viongozi wa CHADEMA wajaze fomu kisha wagombee nafasi ngazi ya Taifa. kisha akipatikana Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mwenyekiti Taifa CHADEMA na viongozi wa ngazi za juu kitaifa za CHADEMA kutokea KAHAMA ndipo tutaamini kuwa ukombozi umekaribia... La sivyo kuchagua CHADOMO ni HASARA bora Mkoloni arudi kututawala! Usiku mwema.

Kweli wewe ni MALYENGE ndo maana hata hoja yako ina malyenge kama jina lako,people's power si CDM Maana yake ni nguvu ya umma na nguvu ya umma si lazima iwe CDM.Pia kuhusu katibu mkuu kutokea kanda ya ziwa mbona si suala geni,au mmesahau kuwa marehemu Bob Makani alitokea kaskazini kama akili yako inavyofikiria?Cha msingi jaribu kujenga hoja kwa kuzingatia madhila ya hoja husika kuliko kukurupuka kama fataki.
 
nape bwana, eti maalim ameula serikalini kelele zote pyuuu! Labda kweli, lakini mbona na yeye alikuwa mkali sana kwa akina lowasa na cku hizi hasikiki au ameshapata kamgao kake na yeye sasa ananyoa ndevu?

Msimamizi wa pesa za ndani ya chama cha CCM huidhinishwa na katibu mkuu na kupelekwa ombi la pesa kwa M/kiti lakini tangu Nape alipo bypass na kwenda moja kwa moja kwa M/kiti na kuvuta fungo kupitia mlango ya nyuma amesahau faalsafa yake ya kujivua gamba,kwani njia hiyo anayoitumia si rasmi ni zaidi ya ufisadi mkubwa ndo maana vuvuzela yake imekwisha makali kumbe kilichokuwa kinasumbua ilikuwa ni njaa tu.
 
CCM hawajatamgua kama Nape ni sehemu moja inayokidhoofisha chama? wajiulize kwa nini kasi ya kuporomoka imezidi sasa kuliko wakati mwingine? kuna viongozi wa juu wa awali kama Mangula, mzee kawawa, Kolimba n.k. chama kilikuwa na heshima. sasa hakina heshima maana wakuu wake hawana mvuto yaani ni wapiga kelele na walalamikaji tu. suala si ufisadi pekee. huwezi kuwa kiongozi mwenye maamuzi halafu ukalalama kama wewe ni mpinzani.
 
nimepend staili Nappe majibu ya papo kwa papo nadhani hata mzee ma kulia Pinda haoni ndani.
 
Msimamizi wa pesa za ndani ya chama cha CCM huidhinishwa na katibu mkuu na kupelekwa ombi la pesa kwa M/kiti lakini tangu Nape alipo bypass na kwenda moja kwa moja kwa M/kiti na kuvuta fungo kupitia mlango ya nyuma amesahau faalsafa yake ya kujivua gamba,kwani njia hiyo anayoitumia si rasmi ni zaidi ya ufisadi mkubwa ndo maana vuvuzela yake imekwisha makali kumbe kilichokuwa kinasumbua ilikuwa ni njaa tu.
Tatizo la Nape ni kufikiri anajua sana kuliko wengine hata wazee waliopo Ccm. mtu mwenye uelewa ni yule anayengalia zaidi shutuma na lawama anazopewa ili aweze kujirekegisha kuliko kutazama dheo na baadhi ya sifa apewazo. anapaswa kujua kuwa hata kupitia wapinzani anaweza pata maarifa na uelewa zaidi
 
Back
Top Bottom