Maswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank

Mambo wakuu,

Nimeitwa NMB Nothern Zone hapa Arusha,nilikua naomba mnisaidie kunipa format ya maswali wanayouliza kwenye written zao.

Shukrani
Hapa tutakubabaisha tuu kama unavobabaishaga wenzio, cha muhimu we subiri siku ya interview utaulizwa hayo maswali
 
Wacha npite mmenfurahisha na huyo perry akipata aletw majib kuwa amepata
 
Perry we c ulisema umeshapata kazi ya uchumi serikalini? Au hii unamtafutia mtu?
 
Back
Top Bottom