Maswali ya written interview kwa nafasi ya bank teller NMB bank

Kwasababu ni kazi ya teller haihitaji G.P.A kubwa.
Tatizo watu wamekariri,kitu lazima uwe na sijui G.P.A sijui Bcom sijui vurugu gani.Hakuna kazi rahisi kama za benki.Tena za tellers hata form two anafanya.Ukianza ni kukariri tu Transaction codes(TC) ambazo kuna debt(withdrawal) na Credit(Deposit) na ni no zenye tarakimu zisizozidi nne.Kikubwa uwe unajua tu kusoma lugha ya kingereza hata the,the tu maana ndio lugha inayotumika kwenye system.Mengine unajifunza humohumo kazini.Na kama kichwa chako kizuri,ndani ya miezi miwili utakuwa umejua kila kitu.
 
nimepitia huu uzi nimecheka sana...ukifanya kazi CRDB,NMB au ACCESS BANK shida tupu usiombe upangiwe idara ya mikopo hulipwi mshahara hadi wakopaji warudishe madeni, yaani hizo bank bora upitie kupata experience then usepe zako uende MUCOBA BANK hapa teller analipwa 1.8 mill hapo sijaweka marupurupu tena yule diploma..tusiangalie majina ya bank tu
 
Hiyo MUCOBA bank ndo IPI? Mpatie Perry kazi maana anatanga tanga sana!!
 
nimeitwa oral leo saa 4 asubuhi.mlionisaidia pm mmbarikiwe sana.mnaojifanya wazee wa kuponda endeleeni na kuponda kwenu
 
nimepitia huu uzi nimecheka sana...ukifanya kazi CRDB,NMB au ACCESS BANK shida tupu usiombe upangiwe idara ya mikopo hulipwi mshahara hadi wakopaji warudishe madeni, yaani hizo bank bora upitie kupata experience then usepe zako uende MUCOBA BANK hapa teller analipwa 1.8 mill hapo sijaweka marupurupu tena yule diploma..tusiangalie majina ya bank tu
Mambo halichekeshi we unacheka kekeee keee keee, we utakuwa unaliwa samvu SI bure kabisa, " eti umecheka Sana koma
 
Back
Top Bottom