Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,747
- 9,919
NMB ni zaidi ya jipu kama huna mtu wa kukushika mkono usitarajie kupata kazi.Mkuu wewe unasifa gani mpaka wamekuita mie nikaachwa? Ni Bcom acc ya udsm 2013 na GPA ya 3.4
hapo kwangu kuna shidah?