Maswali ya wazi kwa Mh Zitto Kabwe

Zitto, kama kweli huna Hummer, niwie radhi. Hili jambo limekuwa likizungumzwa kwa muda mrefu kwenye mitandao na wewe hujawahi kukana kwa uwazi kama leo. Sikupenda kuamini habari ya kwenye mtandao, lakini wik mbili zilizopita nimewasikia watu wa kawaida-wapiga debe wa stendi ya mkoa dodoma wakisema unayo hiyo gari-nikashawishika kuamini. Sina wivu wala husda na wewe maana daima uongo hujitenga na ukweli hudhihiri, nipo tayari kukuunga mkono itakapodhihirika vinginevyo.
...Great Thinker?!!...Tunahitaji maombi
..
 
Back
Top Bottom