Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni: Akerwa na maandamano ya CHADEMA

Ni lazima wasumbuke kwani ni hizi kelele ndizo zinazoikata NGUZO MAMA YAO(umbumbumbu wa wananchi juu ya haki zao),zinaamsha waliolala,Hivyo akina Pinda wanapoona wanajitokeza watu wanaoikata au kutaka kuikata maana yake ni kuwa Hatma yao na sisiyemu yao inakuwa mashakani!
 
CHADEMA walianza kusema 'Peoples Power' kabla ya Tunusia na wakati wote huo serikali na hasa ccm walikuwa wanakebehi huo usemi. Ila baada ya Misri ghafla tukaanza kusikia malalamiko toka kwa hawa wakubwa hasa Chiligati alikuwa analalamika kama mtoto mdogo! Walifikia mahali wakasema 'vyama vya msimu'. Sasa kama kweli kama wao ni ngangari wasimame wenyewe bila msaada wa mitutu ya polisi.

Naunga mkono hoja kamanda
 
CHADEMA walianza kusema 'Peoples Power' kabla ya Tunusia na wakati wote huo serikali na hasa ccm walikuwa wanakebehi huo usemi. Ila baada ya Misri ghafla tukaanza kusikia malalamiko toka kwa hawa wakubwa hasa Chiligati alikuwa analalamika kama mtoto mdogo! Walifikia mahali wakasema 'vyama vya msimu'. Sasa kama kweli kama wao ni ngangari wasimame wenyewe bila msaada wa mitutu ya polisi.

huna akili wewe unamaana ccm wanategemea police unataka wapambane live wanachama wa ccm na chadema? Nani atakayebaki na yatakayotokea wewe utanufaika nn na chama chako kama c kupoteza maisha ya watu?, au hutambui tafsiri ya police?,, acheni ushamba wa kisiasa.
 
Wakuu am on my way to immigration kutafuta passport kwa mpango huu siku yeyote kitanuka bora kukaa mkao wa kula mana tumechoka ujinga ujinga wa nji hii... Mana wanatuona watz kama wajinga wanajibu majibu bungeni ki mchezo mchezo tu wanacheka cheka full of shit. So wana jamvi fanyeni pia mpango wa mkoba.
 
hivi kweli waziri mzima anashindwa kusimamia hoja ndogo kama hiyo kazi wampe ku-copy na ku-paste vilaza mmekwisha.
 
Jamhuri yetu,Nchi yetu tutailinda dhidi ya mafisadi na wanyonyaji siku zote NGUVU YA UMMA LAZIMA IBADILI TASWIRA YA NCHI HII,NGOJENI MUONE NAAMINI KIZAZI HIKI HAKITAPITA BILA MABADILIKO YA KWELI
 
Pinda anajibaraguza tu peoooooooples power anaijua sana mbona hajaeleza bungeni kilicho mkuta kule musoma hapa juzi kati kwenye uzinduzi wa ile dispensari ya kanisa la aict, alikimbilia kwenye gari huyo.
 
huna akili wewe unamaana ccm wanategemea police unataka wapambane live wanachama wa ccm na chadema? Nani atakayebaki na yatakayotokea wewe utanufaika nn na chama chako kama c kupoteza maisha ya watu?, au hutambui tafsiri ya police?,, acheni ushamba wa kisiasa.

Dogo acha uoga. kufa kupo tu. Green guard tupo tutakulinda pigania haki yako, fungua kichwa chako kuona kodi yako inavyotafunwa na wachache ili hali wazazi wako kijijini wanateseka na mzigo wa kuni kichwani. Angalia watoto wa maskini wanavyo kaa chini kutafuta elimu japo ya awali. Angalia wananchi wanavyokuwa omba omba hadi wambunge wamewachoka(serikali imeombwa kuongeza fungu kwa ajili yao), Angalia watu wanavyo sombwa na mafuliko kwa kukosa miundo mbinu bora. Tazama kule utaona wazee hawana wa kuwasemea selikalini. Njoo huku utaona TZS si kitu bali USD. Fikiri mara mbili utajua ni kwa tunapigania utanzania na watanzania. Hatukulazimishi ila unaweza kujiunga.
 
pinda hajielewi bali anapelekwa na hisia za kisiasa na kuukimbia ukweli,asitudanganye watanzania tunataka haki itendeke
 
Waziri mkuu Mh Mizengo Peter amekiomba chama chama cha Demokrasia na Maendeleo kupunguza shinikizo la maandamano kwa madai kuwa yana athiri utendaji wa kawaida wa serikali.

Nimemuangalia kwa makini akiyaongea hayo bungeni huku akionekana mnyonge. Lakini unyonge wake ukiwa tafsiri ya kusalimu amri maana anajua kabisa ccm imeshindwa kuhimili mapigo ya chadema kwa kuzijibu hoja nzito na sasa imejikabidhisha kwenye vyombo vya usalama ili isaidiwe kujinasua.

Pinda akumbuke kuwa utendaji wa serikali ni pamoja kutekeleza kwa vitendo kero za wananchi na si kulalamika huku magamba yaki watabisha wananchi.
 
Huyu mzee sio wakumsikiliza kabisa na Mwili wake usio na shukrani.
Yeye ni mmoja wa watu ambao wamechangia kwa kiwango kikubwa
sana katika kuusimamisha mji wa Arusha kwa Jambo hili.

By the way, huwa anazo taarifa za kila kitakachotokea katika kila
event, ni mmoja ya watu walio kwenye kitchen cabinet ya kuizoofisha
CHADEMA kwa kutumia vyombo vya dora.

Nacho kubaliana naye ni kwamba, ni kweli sasa vyombo vya dora
vimeshindwa kufanya kazi zake inavyostahili na vimejikita kutekeleza
matakwa ya CCM
 
  • Thanks
Reactions: FJM
kumbe wameshajua kuwa mziki wa nguvu ya umma ni mnene? wasubiri hayo mazungumzo na polisi wakileta za kuleta tunajimwaga road tuone
 
Kama kuna kaukweli kwa mbali katika haya maneno ya pinda. Lakini pia serikali ya ccm inatakiwa kuamshwa kwali wamelala wakifikiri wana hati miliki ya kuongoza nchi. So kwangu mimi faida na hasara zimebalance.
 
alichokileza waziri mkuu ni viseversa yan unaongea bungeni unasema nafikiri au kwa ulivosikia, kama umeweka kichwani na kuongozwa na maneno ya pinda utakua na matatizo makubwa sana ya akili.
 
Wananchi huwa wanaandamana kwa hiari yao wenyewe pasipo kulazimishwa na chadema kuhudhuria maandamano, kinacho wasukuma kwawingi wananchi kujitokeza ktk mandaamano ya chadema au wanaharakati wengine ni ilikupinga aukuishinikiza serikali kufanya aukutofanya jambo flani so polisi wanacho takiwa kufanya nikuhakikisha usalama wa waandamanaji pia kuhakikisha kua waandamanaji hawa wafanyii fujo watu wengine, maajabu yanayofanywa na polisi wetu kilamara huwa wanazuia maandamano ya vyama vya upinzani kwakisingizio cha uvunjifu wa amani bilakujua kwamba wao polisi ndio wanaotakiwa kulinda hiyo amani kwa kuwadhibiti wale wote watakao jaribu kufanya fujo, polisi marazote wana egemea upande wa chama tawala jambo ambala ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu,pinda naye ningemshauri akazime kwanza mwenge kisha ndio arudi kujadili maandamano ya chadema,bila kuondoa kero hutoacha kusikia lawama, sirikali iache kupambana na chadema badalayake ipambane na kero zinazo wakabili wananchi
 
........taratibu kamanda punguza hasira; wew mwaga hoja tu, teh teh teh
huna akili wewe unamaana ccm wanategemea police unataka wapambane live wanachama wa ccm na chadema? Nani atakayebaki na yatakayotokea wewe utanufaika nn na chama chako kama c kupoteza maisha ya watu?, au hutambui tafsiri ya police?,, acheni ushamba wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom