Kiini macho hicho suluhisho ni Kuformat tuu hard disk yao
Hapa sema "atawasilisha..." . Akiwakilisha muswada maana yake ataenda yeye kwa niaba ya muswada. Nadhani sicho unachomaanisha.
Danganya toto kunamsafi humo,kumbuka alivyo anza zile kesi za EPA zimeishia wapi?
Ehe! Ndiodahh umenifuraisha sana mkuu...dawea ni ku format hard drive..mi naona ni kubadilisha hata hard drive yenyewe
Akihojiwa na television ya TBC leo kuhusu kuchaguliwa kwake kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM, Wilson Mukama amesema amefurahi na kushukuru sana kuaminiwa kuongoza "jahazi" la CCM.
Mwandishi akamuuliza, "lakini jahazi hili linasemwa lina nyufa, migawanyiko, makundi, n.k." unaliongeleaje?
Jamaa akajibu "tatizo ni Kiswahili, lakini kwa Kiingereza wanaita ``conflict,`` na conflict siku zote sio unhealthy, conflict ni healthy kwa chama.``
Maoni yangu: Jamaa atapata tabu sana kama msemaji wa chama, hana skills za mawasiliano hata kidogo. Watu wanaongelea tatizo la makundi ndani ya chama yeye anasema ni poa!
Halafu neno ``conflict`` kajifanya halijui kwa Kiswahili utadhani wanachama wa CCM wote wanaongea kizungu.
Akihojiwa na television ya TBC leo kuhusu kuchaguliwa kwake kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM, Wilson Mukama amesema amefurahi na kushukuru sana kuaminiwa kuongoza "jahazi" la CCM.
Mwandishi akamuuliza, "lakini jahazi hili linasemwa lina nyufa, migawanyiko, makundi, n.k." unaliongeleaje?
Jamaa akajibu [B]"tatizo ni Kiswahili, lakini kwa Kiingereza wanaita ``conflict,`` na conflict siku zote sio unhealthy, conflict ni healthy kwa chama.``
[/B]
Maoni yangu: Jamaa atapata tabu sana kama msemaji wa chama, hana skills za mawasiliano hata kidogo. Watu wanaongelea tatizo la makundi ndani ya chama yeye anasema ni poa!
Halafu neno ``conflict`` kajifanya halijui kwa Kiswahili utadhani wanachama wa CCM wote wanaongea kizungu.
Mhhhh! Kishabwabwaja! Sasa kama siku zote conflict sio unhealthy si wangemuacha Makamba tu aendelee!? Bado wana safari ndefu sana ya kukisafisha chama chao na kwa haya mabadiliko waliyoyafanya juzi bado hakuna mabadiliko yoyote ya maana.
yaani hili ndo boga kabisa...yaani conflict ni health? ana maana migogoro ni mizuri katika chama??au nimeelewa vibaya