Tuliambiwa CCM itajivua gamba na jana ndio tumeambiwa wamejivua hilo gamba!
Naomba niwaulize wataalamu wa sayansi za wanyama ,
kama mfano huu ilivyo je CCMitakuwaje baada ya kujivua gamba ,
Mfano wa kujivua gamba ni kama afanyavyo nyoka je akijivua gamba huwa nabadilikaje au anabakikuwanyoka tu
Anakuwa joka mpya tena hatari kuliko kabla.