Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,669
Umenkumbusha mbali sana juu ya Jackton...niliwah kujbzana nae kwa sms kuhusu kutumiwa kwake..alintkana sana,lakn bas 2sibadlishe mada..Mwenyez Mungu ni Mwing wa Rehema s mwing wa hasira!You are absolutely correct mkuu. Japokuwa hatuwezi wala hatupaswi kuhukumu, lakini ni ukweli ulio wazi kuwa Dany alimtumikia RA kwa moyo na akili yake yote.Hata katika mazingira mengine alikiuka maadili ya kazi yake ili kumfurahisha his master (RA). Kwa kushirikiana na Bashe pamoja na Manyerere Jackton waliyafanya magazeti ya RAI na MTANZANIA kupoteza hadhi kabisa mbele ya wanajamii (hasa wasomi).Binafsi nimewahi kuingia nao kwenye mgogoro baada ya kuhoji issue fulani, waliyotoa kwenye Mtanzamia (December last year) bila kuwa na ushahidi.Katika taarifa ile hakukuwa na objectivity wala fairness maana tuhuma zilitolewa bila kufanya attribution kwa mtuhumiwa.Nilipompigia Jacton alishindwa kudhibitisha but after some minutes wakanitext kuwa natumiwa na CHADEMA.Nilishangaa kuwa wao wanaotumiwa na RA hawajioni, wanabaki kugase wengine. Nikajaribu kuwaelewesha kuwa im arguing on proffesionalism b'se i also posses degree of the same proffesion but hawakunielewa tukaishia kulumbana.So it is true kuwa Dany na wenzake walimtumikia RA for their all energy hata wakati mwingine kupindisha ukweli. Hatupaswi kuhukumu but to be honest Dany alipaswa kuiomba jamii radhi kabla hajatwaliwa ktk haya mavumbi.Sina hakika kama alitubu kwa Mungu wake, lakini nina hakika hakutubu kwa WATANZANIA. Nasikitika amekufa na deni hilo. Eeeh Mungu mrehemu Daniel Mwakiteleko apumzike kwa amani.