boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,280
- 310
2005 ilikuwa ni Mtandao, Rostam, Lowassa, Sitta, Makinda na jamaa kibao wakipiga ngoma na kupuliza tarumbeta la Ari, Kasi na Nguvu mpya.
Mwaka huu ni familia, Chifu Ridhiwani na Mama Salam ndio wanachanja mbuga kila kona kupiga kampeni ya Urais.
What happened kwa mtandao wa kina Janguo, Mudhihir, Msabaha, Chenge, Apson na wengine waliotuletea chaguo la Mungu?
Kumetokea nini mwaka huu, mfalme anatembea pekee na kuonekana mnyonge na haamini mtu mpaka awekewe kinga ya giza na Sheikh Yahya?
Mwaka huu yupo meneja wa kampeini Bepari Kinana raia wa Somalia aliyezamia TZ,
Pia ameacha mtandao kidogo ili kupunguza maneno na ame-advance anatumia helikopta tatu na kila moja milioni tano kwa saa kwwa kuruka pia familia inamsaidiam. Kimsingi ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 75. Ame-bore tu kuwapigia kampeni watu ambao serikali yake inawatuhumu kwa rushwa kama Basil pesambili mramba