Maswali kwa waziri mkuu

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
Mh Mbowe anamuuliza Mh Waziri mkuu kuhusu mauaji kwa raia na hasa mauaji yanayotokana na vyombo vya dola?
 
Pinda kajibu kwa kusema kuwa Serikali inajitahidi kuchunguza na kulitolea taarifa. Swali la Nyongeza mh Mbowe kapendekeza kuundwe tume huru na hasa kwa Dr Ulimboka kwani kwa kuiachia Police wakati wanahusishwa moja kwa moja ni kuipunguzia sifa nchi hii
 
Kuhusu la Dr Ulimboka kasema halimwingii akilini kwa police au serikali kuhusishwa na Tukio la Dr Ulimboka na kuwa hata mh Mbowe hana hakika nalo na kuwa nchi hii haijapoteza sifa kwa mauaji ya raia na pia ikiwepo tukio la kupigwa kwa Dr Ulimboka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom