Maswali kwa Waziri Mkuu Hayana Tija Tena

Ila pinda hataponea mpaka 2015 lazima ataumbuliwa kwani kumlinda huko kuna mwisho
 
Wakati waziri mkuu akijibu maswali ya papo kwa pap leo bungeni aliulizwa swali juu ya mazungumzo yake na Mh. Mbowe . Katika uvumi ambao Mbowe na CDM waliueneza kuwa wamekubaliana na waziri mkuu kuwa uchaguzi wa Meya wa Arusha urudiwe. Jambo hili kumbe si kweli na mazungumzo ndio kwanza yamepelekwa kwa msajili wa vyama ili kuundiwa utaratibu.My take : Viongozi wa CDM kuweni na kauli thabiti acheni uzushi
mbowe alisema walisha kubaliana namna ya kulitatua jambo hilo na kama ndo wanapeleka kwa msajili si nalo ndilo kubalino na hajasema waziri mkuu amekubali uchaguzi urudiwe sijui genous gani wewe usiyejua kujenga hoja
 
Ila pinda hataponea mpaka 2015 lazima ataumbuliwa kwani kumlinda huko kuna mwisho

Taratiibu tunaelekea kunako, maana alizoea yale maswali wanajadili na CUF zama za Hamad Rashid wanayapanga na Data za kutosha. Ukilisikia limeulizwa kweli Kigongo cha kumtoa Nyoka pangoni, ila linapojibiwa kwa hoja zilizonyooka hadi mwanaume akikosea sentensi kwa jinsi alivyomeza anairudia ili asiende kinyume na makubaliano (Mtazamo wangu katika zama hizo)
 
Pinda amesema aliwaambia (CDM) atamjulisha Msajili wa vyama ashughulikie, alitakiwa pia amalizie kwa kueleza Bunge kuhusu hatua alizochukua Msajili manake jukumu la kumjulisha alijitwisha yeye, laiti kama angefikiria kidogo majibu yake nadhani asingejibu hivyo..
 
Majibu mepesi umekuwa utamaduni wetu. Unafikiri baada ya Kujibu wakati its too late
 
*Kwa ujumla ilionekana wazi wale wabunge wa CCM walipangwa kumuuliza Pinda yale maswali kabla (Mbinu hiyo aliianza muda mrefu sana taratibu, sasa imekuwa kubwa sana na ameongeza kiti cha spika kumsaidia!).

Kulijua hilo tazama anavyoshindwa/anavyokwepa kujibu maswali ya msingi kutoka wabunge wa upinzani ikibidi hata spika kuyazuia kwa nguvu zote (Mfano ni leo alivyoshindwa kujibu kwa ufasaha swali la msingi la mbunge wa Chadema aliyeuliza; Lini majina ya vigogo wauza madawa ya kulevya yatatajwa&kufikishwa mahakamani kwa sababu serikali inawafahamu?)

Suala la Arusha naona Pinda aliamua kwa makusudi kabisa kwa mara ya pili kupotosha/Kudanganya na hii ni hatari kwa mtu mwenye nafasi kubwa kama yake. Kwa mfano;

Kama ni Kweli hakufanya mazungumzo na Mbowe kwanini alishindwa kulikanusha hilo liliposemwa kabla mpaka asubiri maswali ya papo kwa papo bungeni? *Kwa mchezo huu wa kitoto&kizamani, Mheshimiwa Pinda ajue kuwa kisiasa anajimaliza taratibu na anaiabisha serikali nzima ya Kikwete.
 
Suala la Arusha ni mtego kuwavuruga CDM, Ila wamechelewa Maamuzi magumu yanasimama licha ya kuwashauri kwenda mahakamani
 
By Nipe tano Masikini CHADEMA kumbe KELELE zote zile NI UONGO WA kamati KUU .......mhhhhhh

Hapo kwenye red; very interesting. Usishangae soon hawa jamaa (CHADEMA) wakaja na ushahidi wa nguvu juu ya uwepo wa mazungumzo kati yao na PM. Tuombe Mungu kwamba majibu ya PM yalikuwa sahihi, kweli tupu, na thabiti otherwise sijui itakuwaje ushahidi ukiletwa. Kwa muda sasa kauli nyingi za CHADEMA zimethibitika na kwa hili la Arusha, siamini kama walidanganya na, in fact, sidhani kama walikuwa na sababu ya kudanganya.

unajua nyie magamba kweli mnafikiri kwa makalio maana hamjifunzi tu toka lema alipotoa ushahidi kuwa PM kalidanganya Bunge mbona alipeleka ushahidi mpaka leo kimya.
Hiv wewe hujiulizi kwann Mandugai alihamaki fasta baada ya Mnyika kusema PM analidanganya Bunge huoni kuwa anajua angemwachia tu pale mambo yangeharibika ,wanataka awasilishe kwa maaandishi ili UKWELI usijulikane wauzike kama ule wa mwanzo wa Lema???
We dudus kwel unafikir kwa ... ,dont u see this fact au ndo tuceme unafikiri kwa .....,
THINK INTELLECTUALLY Oky!!!
 
Mtoto wa kuwalima hawezi hayo maswali ya papo kwa papo. Mwacheni jamani. Atafanya nini ikiwa kila analotaka kufanya mkubwa wa kaya hataki?
 
Wakati waziri mkuu akijibu maswali ya papo kwa pap leo bungeni aliulizwa swali juu ya mazungumzo yake na Mh. Mbowe . Katika uvumi ambao Mbowe na CDM waliueneza kuwa wamekubaliana na waziri mkuu kuwa uchaguzi wa Meya wa Arusha urudiwe. Jambo hili kumbe si kweli na mazungumzo ndio kwanza yamepelekwa kwa msajili wa vyama ili kuundiwa utaratibu. My take : Viongozi wa CDM kuweni na kauli thabiti acheni uzushi
Kauli kama ''mimi sio Mungu nikaleta mvua inyeshe mabwawa yajae maji ili tupate umeme, tatizo la umeme sio ngeleja,...sitaweza kuyamaliza matatizo haya...chama iabidi kijivue gamba...'' zina tija sana
 
Back
Top Bottom