AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,502
- 180
- Thread starter
- #21
WEWE NDIO GAMBA KWELI YAANI HATA UNACHOZUNGUMZA HUKIJUI SIJUI SASA UNAZUNGUMZA NINI??humu watu wengine wanafuata upepo tu lakini ni damu ya kijani isipokuwa wanaogopa kujitokeza hadharani.
Huwezi ukasema cdm wamekosea either kwa kutoka bungeni ama kwa kumwona mheshimiwa rais. tuache unafiki jamani tuangalie je hiyo sheria iliyopitishwa inamapungufu ama haina?
Kama haina basi ndo tuwalaumu chadema lakini vinginevyo hawana makosa yoyote tutambue kudai haki hakuna lelemama si mnaona hata vyuoni mpaka wanafunzi wagome ndo matatizo yanatauliwa.
Ni kazi kweli kulitoa gamba hili
LETE ME TELL U THIS MADAI YA CDM SIO KUHUSU CONTENTS ZA MSWADA NI KUHUSU MUDA WA MJADALA,WANACHOTAKA NI KUWA MSWADA USIPELEKWE HARAKA KWANZA WALITAKA USOMWE KWA MARA YA KWANZA BUNGENI BUNGE LIKAKATAA PILI WAMEMUOMBA RAISI ASISAINI AMESAINI
CONTENT ZA BILL ZINA MATATIZO MAKUBWA HASA NGUVU ZA RAISI NA MAMLAKA ALIYOPEWA,MUUNGANO NA MAMBO CHUNGU MZIMA LAKINI MADAI YA CDM SIO HAYO MADAI YAO NI UHARAKA WA MSWADA WHICH 4 ME IS NOT BIG DEAL KWANI NI WATANZANIA WANGAPI WANASOMA MISWADA??
WEWE HAPO UMESHAUSOMA MARA NGAPI NA JE UMEUELEWA??UNAIJUA KATIBA??
msimamo wangu uko palepale KESI YA NGIRI USIMPE NGURUWE