Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,793
- 12,238
Mhe. Rais JK nina maswali machache naomba uyapatie majibu:
Salam aleykuum!
- Je ripoti ya CAG umewahi kupewa na kuisoma au kusikia hoja zake?
- Je mijadala ya wabunge wakiwa bungeni huwa unasikiliza au kupewa taarifa ya mijadala hiyo?
- Je kashfa zinazotolewa dhidi ya serikali yako hususan mawaziri unazifuatilia au unazipuuzia?
- Je kutokana na hali mbaya ya kiuchumi Taifa inalokabiliana nalo, una mikakati ya kutunasua au umekata tamaa?
Salam aleykuum!