Maswali kuhusu sekretariti ya ajira naomba ufafanuzi

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Hivi ni vigezo gani zaidi ya maswali Sekretarieti wanaangalia katika kumpa mtu maksi ndani ya usaili?

kipi ni kiwango cha kufaulu ndani ya sekretariti na ni kwa alama ngapi? ukiachana na alama za ushindani?

kama umeitwa na sekretariti ya ajira sehemu mbili na ukafanya zote na ukafaulu je sekretariti ya ajira hufanyaje?

Na inakuwaje inafika kipindi wanawaita watu kwenye usaili watu watatu nafasi moja halafu hawawachukui wote na baadaye wanatangaza upya? nini sababu zinazosababisha hili kutokea ?
 
kwenye toviti yao wameandika contact zao ,jaribu kuwapigia simu upate maelezo hapa ,hapa jf sidhani kama utapata majibu sahii sana
 
Back
Top Bottom