Maswali haya mwezi huu yanahitaji majibu toka kwa JK

Shukurani

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
251
11
Nakaa na kufikiri sana kama hotuba ya JK mwezi huu itaweza kujibu maswali yetu yote muhimu ambayo yanahitaji majibu ya haraka. Tungependa kujua tume ya BOT imefikia wapi? Vipi kuhusu Attoney general,atawajibika lini? vipi kuhusu Hosea,amefikia wapi? Watuhumiwa wa Richmond,serikali inachukua hatua gani au imechukua hatua gani? Vipi kuhusu pesa tunazolipa serikali inachukua hatua gani? IPTL,Songa's na Downs vipi?
 
si kwa JK huyu! labda over night akili yake iwe imegeuzwa kwa miujiza.
 
Hivi Balali yuko wapi? nadhani ni Mtanzania mwenye furaha kupata wote wakati huu maana kwa karibu mwezi mzima fisadi numero uno amekuwa ni Lowassa; na sitashangaa siku chache zijazo Mwanyika naye atajiuzulu halafu tutamsahau Lowassa...!!
 
Back
Top Bottom