Maswali ambalo huwa najiuliza sana..

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Je naweza kupata m'ke mwenye sifa zote za mama?? Ambaye anaweza kuwa kama mama yangu?? Je anaweza kulinda kutetea kutunza kulea watoto wangu kama nilivyolelewa mimi?? Hii inatokana na aina ya wasichana wengi wa karne hii.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mke/Msichana na mama ni vitu tofauti.. kuwa mama ni stage baada ya usichana hata ivyo mama yako pia alikua msichana labda kama utuambie usichana wake ulikuaje..
 
kama unashinda na punda utapataje farasi??
Unatafuta gari kwenye kabati la nguo?

Nawasalimu tu
 
mama yako enzi zake za foolish age ulikuwepo?
mimi love this,mimi ningekuwa na mtoto wa kiume si sa hizi angesema dah!mi sioi mke mpaka awe kama mamangu ,hajui tu kuwa enzi zangu nilikuwa dah!full mavurugu,na kesi kibao home!lakini watu tunakua jamani! The Boss wambieni watoto wenu wa kiume wawatengeneze wake zao kwa vile inavowapendeza wao na si kwa machaguo ya nyie baba zao!watakesha sana wakifua nguo dry cleaner na kula take aways!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom