Maswali 3 ya kujiuliza ikiwa utafutaji wako wa kazi haufanikiwi

Aug 17, 2016
73
39
1."Je unahitaji kwa dhati kazi unayoitafuta?".-Kama la huenda ni chanzo kinachokwamisha njia zako zote, kwani huathiri usaili wako nawe utakuwa unafanya jambo usilolihitaji kwa dhati.

2."Wapi panapokufelisha?".- Kama utaweza kupata majibu ya ni kipengele kipi cha hatua unazopitia kinakufelisha, je ni unavyojibu maswali katika usaili, je ni unapotuma barua, au ni CV yako ama ni tabia yako mbele ya wasaili?.Chochote kitakachokua chunguza na tafuta suluhisho, kisha karibu tena.

3."Ni kwa vipi umejaribu?" Ni masaa mangapi unayatumia katika kutafuta ajira? Jiulize ni wangapi kama wewe kwa wakati huo huo nao wanatafuta. Kama hutafuti kwa bidii unajaza maji katika ndoo iliyotoboka. CHOCHOTE UFANYACHO FANYA KWA BIDII NA KWA MOYO WAKO WOTE.

CVPEOPLE AFRICA TANZANIA NI WAKALA NAMBARI MOJA WA AJIRA AFRICA NZIMA. IKIWA NA UMRI ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI. NI WAKATI WAKO SASA KUJISAJILI NASI BURE KUPITIA TOVUTI YETU .NA KUWEZA KUCHAGUA AJIRA UIPENDAYO. CVPEOPLE AFRICA HAITOZI JOBSEEKER GHARAMA YOYOTE. IWAPO UTAPEWA TAARIFA NA MTU YEYOTE AKIDAI ANATOKEA CV PEOPLE AKIWA NA MADAI KUKUHITAJI KUTOA GHARAMA ZOZOTE TOA TAARIFA KUPITIA 0758961961 EPUKA MATAPELI.
 
Mkuu me nimejaza kila kitu kinachotakiwa katika muongozo wenu ila issue ni kwamba kuna baadhi ya sehemu zinahitaji kujazwa kiasi cha mshahara ulichokuwa unalipwa na mwajiri wako wa zamani, swali ni je mimi sijawahi kuajiriwa ila still kwenye lile jedwali kuna command niweke aidha salary sleep...kingine ni je endapo hazitafikia hizo asilimia 100% siwezi kuingia kwenye system? me zilifikia asilimia 82%.
 
Habari,
Kipengele cha salary kama huna acha wazi. Hongera kwa kufikisha zaidi ya 75%, sasa waweza kuingia kwenye website, kisha bonyeza Tanzania jobs, angalia kazi ambayo una vigezo vyake, kisha click apply. Maombi yako yatatumwa direct kwenye system na tutapokea.
 
Back
Top Bottom