Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

Elimu ya bongo ni kupoteza muda tuu,hakuna kitu.Medicine walau wanajitahidi
 
Niko mzumbe nachukua masters had mda huu Niko darasani na sio peke yangu tuko karibia darasa nzima .sijui wewe ulikula maharage ya wapi???ni Nani aliekulogaaaa?
 
HAO NDIO VICHWA MAJI WANAOPENDA KUTAFUNIWA KILA KITU,Mzumbe mastrs ni ngumu sana hakuna siku hata moja ambayo unaweza kusema leo niko free mambo ni mengi kila kukicha
 
Nimehitimu mzumbe Msc.Economics nimesoma na hao unaowasifia wa UDSM lakini nao walikuwa weupe tu sasa nipo University of Leeds,Uk Napasua anga kiuchumi lakini Mzumbe ni chuo kigumu sana labda kwako sasa kwa taarifa yako nina dissertaion za wenzio wa ESAMI-Arusha,unaruka mkojo na kukanyaga ma.vi
 
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.
Aiseee!! yani hicho chuo serikali ikiangalie kwa jicho la tatu, lah sivyo! watu watakuwa wanakikimbia
 
Kwa kweli bwana Maswitule, nadhani huyu bwana atakuwa na stress zake. Anakilaumu Chuo na kwamba yeye hawezi kufanya dissertation kwa sababu watu hufanyiwa ni hoja mufilisi kabisa na haina mantiki. Kuna watu wengi tena lukuki wanaotoa ushuhuda wa namna ambavyo Masters zao zimewasaidia huko mtaani, na mwingine alitoa ushuhuda kwamba kwa kupitia Masters hiyo, hivi sasa anafanya PhD huko ughaibuni. Kwa hiyo sioni jipya kutoka kwake, ni ule utumbo wa siku zote wa ushindani wa vyuo ila leo kaja na rangi tofauti.
Huyu jamaa kaisha katwa kichwa
 
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.
achana na shule katafute kitu kingine ufanye
 
Degree za MZUMBE ni kujiongezea makaratasi yasiyo na maana kwenye bahasha A4 za khaki kabatini. USELESS PAPERS
 
Masters ya mzumbe labda economics!!!!alaf we Ni nyau kweli kweny si mnaela et ooooo nimekimbiaaaaa oooo sijui nin si uende Harvard, duke univers,,, oxford univers, au massachussets kima wewe kalime kwenu
 
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.
Ila isije kuwa wewe ndio kimeo siamini kama walimu wote wanaweza kuingia eti nakuanza kufundisha yasio kwenye mada big NO
 
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.

Bila shaka huyu jamaa ndo kimeo, yaani ulienda kusoma au kutoa pesa? Na hao wanaotoa pesa kufanyiwa dissertation wameenda kusoma au kutalii? Walimu na stori darasani nani alaumiwe kama wewe mwenyewe unaunga mkono hizo stori na kufurahia badala ya kuzingatia kilichokupeleka huko na kumkumbusha mwalimu wako pale anapoenda ndivyo sivyo?
 
Mzumbe ni janga lakini utashangàa double standard ya TCU kutwa wanawabana private universities tu na kusahau public ones
 
Mzumbe wamejidhalilisha wenyewe kwa kuajiri watu wenye sifa hafifu kupitiliza
 
Back
Top Bottom