malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,312
- 512
mASTERS YA WAPI KWANI NZURI YA udsm?
na sua lakini uwe makini na shule lasivyo itakuchukua miaka zaidi ya miwili bila kumaliza!
mASTERS YA WAPI KWANI NZURI YA udsm?
Hakuna chuo kilichokosa soko la MBA......use simple common sense UDSM evening MBA ni three years, full time two years-mzumbe zote ni two years. Pia kwa umri wa mzumbe haijafikia uwezo wa kuproduce all those many Masters degree. How many Phd holder are employed as Lectures mzumbe? Mwenye Masters degree anamfundisha student wa Masters? na kusimamia dissertation...uliona wapi udhaifu huu?
Kwa sasa Mzumbe wanakusanya funds two, ukweli masters degree zao ni vimeo vya kufa mtu, graduate wa masters degree mzumbe wasio wanafiki wanakiri kabisa kuwa walikwend akupata vyeti tu ili wapate promosheni serikalini. Lakini kama mtu umejiajiri na unataka elimu hiyo uitumia huko unakofight biashara. Mzumbe is not ideal.

mimi sijui sana kuhusu mzumbe ila kwa suala la kina Kamala na Nchimbi nilijiuliza sana kwa nini karibu wote wenye masters na phd za ujanja ujanja zinatoka mzumbe na sijasikia matukio kama hayo kwa masters na phd za udsm wakati ndio chuo kilichoanza kutoa masters muda mrefu
asante kwa taarifa mkuu! m ndo mlikuw najiandaa nxt yr nianze. ila km desseratio ya kunuhnu c ndo poa!!
Nimekuwa najiluliza maswali mengi sana kuhusu hiki chuo, rapid transformation from IDM-Mzumbe to Accredidated University yenye hadhi ya kutoa hizo MA na Phd's kwa fujo. UDSM chuo kikongwe bado kinastruggle na human resources especially lecturers hadi leo (tafakari). Na ninapoona wanasiasa ( kumbuka dunia ya tatu hili ndilo kundi linalopenda njia za mkato pengine kuliko mengine) wanakimbilia Mzumbe napata wasiwasi zaidi!!
What is the quality problem have you realized and using what metric measure have you come up with this judgment?Mzumbe University has QUALITY problem, no doubt about that. And it has to be fixed.
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.