Masters ya Tourism

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
heshma yenu wakuu! Naomba kuuliza kwenu wakuu kwamba ni chuo gani kinatoa masterz ya tourism kwa hapa tanzania. Asanteni,
 
jaribu kuangalia website ya sokoine university, nadhani nilishawahi kuona kitu kama hicho kwenye undergraduate courses. kama hawana, send inquiry, they might find a need to accommodate u. all the best
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom