Masters in project monitoring and evaluation

MKOBA2011

Senior Member
Jul 12, 2011
142
27
Wadau salama samahani kwa mtu anayejuwa chuo kinachotoa hii degree ya pili hapa bongo tujuzane
 
Sina hakika na degree ya pili ili COET- UDSM wanatoa PGD
 
Wadau salama samahani kwa mtu anayejuwa chuo kinachotoa hii degree ya pili hapa bongo tujuzane

Hiyo kozi pale COET ni gelesha tu babake, inatolewa na ki organisation kimoja kipo sinza (INFORMAC) na haitambuliki.Usije ukaingia chaka na mwendo wako wa kujimwaga. Cha kushangaza Prof. Mkandala na wenzake wamekuwa kichwa ngumuuuu na wameendelea kubariki maupuuzi yanayoendelea chuoni. Atakuwa anakatiwa fungu.

Sifa kwake ni kufukuza wanafunzi wakigoma, kumbe chanzo ni yeye..MADARAKA YATAISHA!!..KUMBUKA.

Jamani u Prof. kwa sasa ni Siasa hakuna kitu...heshima inashuka.
 
Back
Top Bottom