Masters degree

CLICKER

Senior Member
Dec 30, 2013
146
18
Kwa anayefahamu anisaidie. Nina bed sc biology. Ninaweza kusoma masters ipi katika science
 
Ungeweka maelezo ya kutosha ungeweza kupata ushauri mzuri zaidi na sahihi kwako sababu una kozi mbili hapo Education na Biology!! Mfano, ungesema malengo yako ni yepi? Kujiendeleza zaidi na ualimu au unataka kuchepuka? So, upewe ushauri kwenye ualimu au lah!! Au unataka kuwa mtaalam wa Biology??

Na kama unapenda kuchepuka binafsi unapendelea nini kwani Biology inaweza kukubeba katika fani mbali mbali mfano Nutrition, MBA, mambo ya Medicine na n.k

Uwanja ni wako ndugu
 
thnx a lot friend, ila nahitaji kuendeleza biology haswa ktk zoology. is it posible??
 
Back
Top Bottom