Masters degree programme

lunyiliko

Senior Member
Jun 10, 2011
171
79
Naombeni ushauri wadau !

Nina cheti cha juu cha taaluma ya Ununuzi na Ugavi, yaani (CPSP), pia nina Stashahada ya Uzamili ya Ununuzi na Ugavi yaani PGDPLM. Nahitaji kufanya masters degree, tatizo sipo tayari kufanya masters ya kitu hicho hicho mwanzo mwisho. Lakini pia mimi ni mtumishi wa Serikali hivyo nikifanya masters ambayo itakuwa tofauti na mambo ya Ununuzi na Ugavi siwezi kupata consideration ya aina yoyote hasa promotion na salary increment. Nimeopt kufanya MBA general. Naombeni ushauri wenu great thinkers.Saluti kwenu.
 
Kuwa promoted serikalini, it depends na OPRAS yako
 
Yaani kichwa yako ujasiriamali hakuna kabisa ! Hata ya kusingiziwa.

Jiajiri wewe acha kukimbilia na kuwazia promotions...ndo unaelekea finally shauri yako...tafuta idea ya biashara ya ulichosemea.. Fungua ofisi yako. Utaajiriwa mpaka lini

Nimemaliza yote sasa, roho nyeupe sasa na nyepesi kama gwajima vile
 
Naombeni ushauri wadau !

Nina cheti cha juu cha taaluma ya Ununuzi na Ugavi, yaani (CPSP), pia nina Stashahada ya Uzamili ya Ununuzi na Ugavi yaani PGDPLM. Nahitaji kufanya masters degree, tatizo sipo tayari kufanya masters ya kitu hicho hicho mwanzo mwisho. Lakini pia mimi ni mtumishi wa Serikali hivyo nikifanya masters ambayo itakuwa tofauti na mambo ya Ununuzi na Ugavi siwezi kupata consideration ya aina yoyote hasa promotion na salary increment. Nimeopt kufanya MBA general. Naombeni ushauri wenu great thinkers.Saluti kwenu.

Hujataja first degree ulisoma nini ? all in all achana na MBA Nakushauri usome Masters Of Enterprinuership
 
TUJIAJIRINI, LABDA nielezee kujiajiri ni nini?

Kuwa na shughuli yako mwenyewe bila kujali ni shughuli gani na inaendana na masomo yako, kikubwa unafanyakazi halali

na unapata income.

Jamaa kama tayr umeajiriwa baki hapo hapo, soma sawa, lakini kumbuka ukifungua kitu chako binafsi utaanza kujikomboa taratibu. Tuchukulie utasiaafu miaka kadhaa ijayo, unaonaje ukistaafu huna hata biashara ndogo ya kukuingizia kipato cha ziada? Muda sahihi ni sasa, fungua hata genge unakuwa umejikomboa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom