Masterbation kwa maji moto

nyarngato

Member
Apr 11, 2012
29
4
Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni mwanaume naaliwahi kukaa nchi za nje mda mrefu bila mkewe na nilipojaribu kumdadisi mkewe kuw mumewe unawezaezaje kukaa mda mrefu akanitonya kuwa anafanya masterbation kwa maji ya moto.
Sasa jana nimefanikiwa kuoga kwneye nyumba ambayo bomba linatoa maji ya moto, maji ya moto yakanigusa huko chini ngoma ikaachia kapohapo...
Sishauri mjaribu kwa sababu inachukua maji mengi lkn ni multiple orgasm na ni noma...
 
mweeeeeeeeeeeee, ngoja na mimi leo nijaribu hii ya maji moto. inawezekana ni matata sana lol
 
Hii kwa wake tu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama wanawake wako wengi na wanaume kibao tu
kwa nini ujichue wakati mambo yenyewe yanawezekana
 
Shauri yako, maji ya moto yakikuzoea yananoki!! yakinoki unabakiza nija moja tu ya KUPIGA CHABO ili upate stimu!!! UPO HAPO!!!! Prevention is better than cure!!!
 
Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni mwanaume naaliwahi kukaa nchi za nje mda mrefu bila mkewe na nilipojaribu kumdadisi mkewe kuw mumewe unawezaezaje kukaa mda mrefu akanitonya kuwa anafanya masterbation kwa maji ya moto.
Sasa jana nimefanikiwa kuoga kwneye nyumba ambayo bomba linatoa maji ya moto, maji ya moto yakanigusa huko chini ngoma ikaachia kapohapo...
Sishauri mjaribu kwa sababu inachukua maji mengi lkn ni multiple orgasm na ni noma...

Ndiyo unataka tujifunze jambo gani sasa hapa. Una umri gani mdogo wangu kwani? Ionge kata wich kuot ka itimo era gi pii ma liet.
 
huyu c yule dada alopigwa ban mwez august kaibuka na user name mpya
 
Pata kitu mtarimbo roho inapenda,hakuna cha maji wala nini,kitu kavu
 
Back
Top Bottom