Master reset code ya iPhone ya Kichina.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Kuna sistangu ako iPhone la kichina, sasa amelikorokochoa akajikuta amebadili lugha na kuseti Mandarin. Mara ya kwanza nilibofya kwa kubahatisha nikamrekebishia, sasa nipo mbali nae na yeye hawezi kufanya ka mimi. Mwenye code ya kureset default anipatie nimpeane mazee...
Natanguliza shukrani za dhati!
 
Try 1122, 1234 or *#0000# then ok

Nimekupata bro, ila mimi sikumaanisha reset ya kwenye settings, ingekuwa ni hivyo angechange tu hiyo lugha. Mimi nahitaji zile code zenye unadial moja kwa moja toka kwenye dial pad.
 
We black beauty chuchu saa sita :)dance: )

Mbona hizo number umepewa hapo juu ni za kudial na sio kwenye setting

Au unauliza swali wakati unalijua jibu tayari
 
Nimekusoma mkaka, na sifa zako nimezipokea kwa mikono miwili.
 
Kuna sistangu ako iPhone la kichina, sasa amelikorokochoa akajikuta amebadili lugha na kuseti Mandarin. Mara ya kwanza nilibofya kwa kubahatisha nikamrekebishia, sasa nipo mbali nae na yeye hawezi kufanya ka mimi. Mwenye code ya kureset default anipatie nimpeane mazee...
Natanguliza shukrani za dhati!

To reset iPhone, press and hold the Sleep/Wake button and the Home button at the same time for at least 10 seconds, until the Apple logo appears. itaReset to default language English mostly.....
 
Senksi blaza, ingawa tatizo limeshasoviwa hii itasaidia kwa matumizi ya mbeleni. Senksi wans egein!
 
Back
Top Bottom