Master J na Shaa wamwagana

Ama kweli jf is never boring
hv mj si ana mke na harusi yake si nasikia pfunk ndo alikuwa best man au? Huy mj atakuwa amezuzuliwa na machokumchuzi a.k..a makengeza ya shaa au ni nini tena mwana wane. We kimario njoo utupe ukweli chalii angu aisee.




Sent from siemens c25 using jamiiforum
 
wanamme wa sikuhizi wana wake zaid ya mmoja
ukiolewa jihesabie uko pale kuchunga nyumba
na kumzalia watoto
af kitaa anajiachia mpaka baasi ukiongozazana nae
watu wanakushangaa
leo yuko na mwaingine?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mh i thought he's married!?! Dah kazi ipo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom