Master ipi nzuri?

PROSEPA

Member
Aug 4, 2012
7
1
rafiki yangu ana degree ya education but anataka asome master ya BBA au LAW...WADAU MNASEMAJE?
 
ni bora ya BBA ipo sokon kwa law hapana atakesha sana..me mwenyew nawaza hata sijui nifanye masters gani kulingana na market kwa sasa..Atulie aseme na moyo waake afanye maamuz sahihi,
 
Masters ya BBA ndo ikoje mkuu na inatolewa chuo gan hapa ulimwenguni?me nijuavyo kuna MBA tu!
 
Master ya BBA????
Hebu funguka kidogo utwambie ndo masters ya nini hiyo au unamaanisha Masters of Big Brother Africa?
 
ni bora ya BBA ipo sokon kwa law hapana atakesha sana..me mwenyew nawaza hata sijui nifanye masters gani kulingana na market kwa sasa..Atulie aseme na moyo waake afanye maamuz sahihi,
F 4 REAL unasoma ili upate cheti na kuombea kazi na si kuelimika? Soma kozi ambayo utaweza kujiajiri na kuajiri wengine
 
Last edited by a moderator:
ni bora ya BBA ipo sokon kwa law hapana atakesha sana..me mwenyew nawaza hata sijui nifanye masters gani kulingana na market kwa sasa..Atulie aseme na moyo waake afanye maamuz sahihi,

Mbona mnanichanginyi wakuu,sijawahi isikia hiyo masters ya BBA,inahusiana na nini na chuo gani wanatoa!?
 
Autorun hawa ndio wasomi wetu na pengine ndio maafisa elimu wanaongoza taaluma nchini; ana maana ya Master of Bachelor of Business Administration!!!!!!! hii itakuwa ni mpya F 4 REAL
Mkuu mleta mada yamkini hajafika kiwango cha bachelor degree kwa hyo si yeye ndie muhitaji wa Master ndio maana ameshindwa kutofautisha MBA na Master ya BBA
 
Last edited by a moderator:
Waungwana nyie ndo hamjamuelewa mleta mada,yeye kaulizia MASTER YA BBA nyie mnaanza kumwambia MASTERS, mara MBA. Wakuu km anataka Master ya BBA mwambieni awasiliane na kampuni ya Endemol ya South Africa inaweza kumsaidia.
 
"Masters ya BBA" Duh!Weekend yangu imekuwa njema sana aisee!! We Rose vipi,mbona nimeagiza sahani ya mbuzi choma saa zima sasa unaning'arisha sharubu hapa aaagh!!!
 
Back
Top Bottom