Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,910
View attachment FBM-MHRM.pdfView attachment FBM-MBA BROCHURE.pdfWadau nimeidaka hii kutoka katika gazeti la mwananchi la jumatatu. Nikaona niwarushie hapa ili mjinoe sio kuajiri vilaza ama kufukuzafukuza watu bila kujua mipangilio. vilevile kuna course mpya ya MBA Iin transport management kwa wanaotaka kuondoa kero ya usafiri Bongo waende wakajinoe hapo. Kila kheri