Mastarbation imemfanya isiwe mgumu

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
630
502
Kuna jamaa yangu amekuwa mpiga punyeto kwa muda mrefu sasa imefikia mahali machine yake ikisimama haiwi nganagali yani imelegea sio ngumu na hawezi ku-sustain long erection and even to repeat tendo jingine.Mwaweza Msaidia huyu bwana wale wataalamu
 
Grow up acha Masturbation!
 
makubwaa!!kwa iyo wakat huo unakua kwa pembeni huku ukijitahidi kumsaidia jamaa yako mshedede uwe ngangali...eti sio ngumu hahahahhaaa ....alafu unaonekana na wewe una tatizo hilo hilo kwa mujibu wa maelezo yako!!kwa kweli sichangii
 
Mkonowapaka mbona maswali magumu hivyo. Utamfanya dogo asirudi hapa kujibu
 
Aongeze tena mpaka iwe kama tambala la deki,halafu manii yawe yanatoka yenyewe.Hapo atakuwa salama kwa muda mrefu maana HIV ni mbaya zaidi.
 
Aongeze tena mpaka iwe kama tambala la deki,halafu manii yawe yanatoka yenyewe.Hapo atakuwa salama kwa muda mrefu maana HIV ni mbaya zaidi.

I see !! Hii imeniacha hoi! Anahitaji msaada wa kweli. Mpaka ameleta hoja jamvini, ujue yamemkuta.

Jerry, ichukie kabisa punyeto. Imekufikisha pabaya. Badilika sasa na kila kitu kitakuwa sawa. Ni wewe tu, hakuna mchawi
 
solution;very simple
1. acha punyeto-ichukie na apa kwamba hautapiga tena
2. nenda mcheki dr akushauri
3. fanya vegel's exercise ukaze misuli, pia huna tatizo ila kufanya mustarbation kunaleta mfadhaiko yaani unafeel kwamba unakosea ila addiction tu, so hakikisha hauathiriki kisaikolojia
4. pata fruits daily, maji mengi, wanga kiasi, zoezi na vichurachura muhimu, zoezi la kukuchosha

pia baada ya 3 weeks hivi, kuwa na mke/girlfriend bana ila usiache zoezi, fruits na msosi.
SAY NO TO MUSTERBATION.
 
halafu jamaa anajiongelea mwenyewe anadai ni jamaa yake, ni wewe sema tukusaidie sio unazunguka zunguka eti jamaa yako wewe ulijuaje au uwa mnaenda wote kupiga mande
 
bora mmemueleza ukweli cos jamb alitaka kutuzunguka kijanja
Jamani si mmemuelewa? msaidieni tu! mbona hata mimi kuna mtu alikuja kunilalamikia tatizo kama hilo lakini kwa namna tofauti, yeye imemfanya akikutana na mwanamke achukue saa nzima mpaka masaa mawili kufika kileleni na hata akifika mzee anachukua muda mrefu kulala yaani jamaa anasema hachoki!
 
3. fanya vegel's exercise ukaze misuli, pia huna tatizo ila kufanya mustarbation kunaleta mfadhaiko yaani unafeel kwamba unakosea ila addiction tu, so hakikisha hauathiriki kisaikolojia
Hiyo vegel's isomeke Kegel's!
 
Jamani si mmemuelewa? msaidieni tu! mbona hata mimi kuna mtu alikuja kunilalamikia tatizo kama hilo lakini kwa namna tofauti, yeye imemfanya akikutana na mwanamke achukue saa nzima mpaka masaa mawili kufika kileleni na hata akifika mzee anachukua muda mrefu kulala yaani jamaa anasema hachoki!

Jambo la msingi ni kuwa muwazi ili usaidiwe sio kuzungukazunguka.
 
Ha ha haaa.! Jerry bana, wana JF wamekustukia..chukuwa maoni na uyafanyie kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom