Mastaa NBA watamba na golden medal

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
CP381212.jpg

150214817-jpg_164813.jpg
 
Siyo golden medal ni gold medal.

Ulichoona ni hicho tu kuliko taswiras? Hawa ndio wale wanaokwepa kujibu hoja na kutafuta hoja dhaifu kwamba mbona hukuvaa nguo ya kijani wakati swali halihusiani na kuvaa ngo za kiajani.
 
Ulichoona ni hicho tu kuliko taswiras? Hawa ndio wale wanaokwepa kujibu hoja na kutafuta hoja dhaifu kwamba mbona hukuvaa nguo ya kijani wakati swali halihusiani na kuvaa ngo za kiajani.

Nimekupa darsa la bure ilitakiwa u appreciate. Nna uhakika hautorudia kosa.
 
150214817-jpg_164813.jpg

Marekani hawa afrikan american ndio wanaoinyanyua sana kimichezo, tazama hapa timu yao ilikuwa na mzungu mmoja au wawili tu ambao ni reserve, wakati kikosi kamili kilichokamilika ni hawa jamaa wa rangi yangu.
 
Darasa gani? La kupata Silven, golden or metalic medal?

Nna uhakika hautorudia, usiwe na kibri, hakuna ajuae yote ila mmoja tu, hususan Kiingereza na Kiswahili nna uhakika siyo lugha mama kwako ni za kujifunza ukubwani kwa hiyo huwezi kuwa na vocabulary ndefu kwenye hizo lugha hata uzisome vipi.
 
We mtoto mdogo uwe na adabu, ukiendelea hivi hivi unaweze kuzeeka vibaya
 
150214817-jpg_164813.jpg

Marekani hawa afrikan american ndio wanaoinyanyua sana kimichezo, tazama hapa timu yao ilikuwa na mzungu mmoja au wawili tu ambao ni reserve, wakati kikosi kamili kilichokamilika ni hawa jamaa wa rangi yangu.

Walipokuwa wanachaguliwa kununuliwa na kupelekwa utumwani huko, kigezo kikubwa kilikuwa ni nguvu za kuhimili vishindo na safari ndefu ya taabu na akili kichwani (special breed), wengi waliokuwa hawana nguvu za kutosha walifia njiani. Kwa hiyo hao unaowaona ni vizazi vya watumwa waliokuwa wakichukuliwa na walioweza kuhimili mateso na kazi ngumu na kuzaana (survival of the fittest).

Si unaona hata kwetu kachukuliwa Hasheem Thabeet si unaona yule kijana alivyo tofauti na Watanzania wengi kimwili?
 
Walipokuwa wanachaguliwa kunuuliwa na kupelekwa utumwani huko, kigezo kikubwa kilikuwa ni nguvu za kuhimili vishindo na safari ndefu ya taabu na akili kichwani (special breed), wengi waliokuwa hawana nguvu za kutosha walifia njiani. Kwa hiyo hao unaowaona ni vizazi vya watumwa waliokuwa wakichukuliwa na walioweza kuhimili mateso na kazi ngumu na kuzaana.

Si unaona hata kwetu kachukuliwa Hasheem Thabeet si unaona yule kijana alivyo tofauti na Watanzania wengi kimwili?

Kizazi cha maskini ndo wanaofanya jitihada za kuwa mastaa, katu matajiri hawana nafasi hiyo, kwani wao ni kazi laini za ofisini na kuhesabu pesa ngapi zimeingia.

Matajiri ndio wamiliki wa timu, maskini ndo wanaotoka jasho kuwafurahisha matajiri. Wanaotaka kujikomboa kutoka umaskini ndio wanaotumia nafasi za michezo kujineemesha na wenye akili wana simama bali wenye akili kama yangu wanaishia kupoteza pesa kwa mambo ya kifahari na kuishia nyumba zao kuuzwa kwa kukosa uwezo wa kuzitunza kwani hununua mahekalu ambayo matunzo yake ni zaidi ya Ikulu ya Bongo.

Hawa wamerekani weusi ambao vichwani mwao kuna element za kufunua vizuri vitabu hawahangaiki na kutoka jasho kwani wakishahitimu wanahakika ya ajira, ila wenye kufukuza upepo na michezo hupokelewa vyuoni kwa hisani ya kulipiwa kwa ajili ya kutangaza vyuo kwa njia ya michezo.

Kwamba hawa ni kizazi chenye nguvu, kwa wachache ndio, lakini walio wengi huwezi kuamini kwani ni legelege, hawajitumi na na nyumba nyingi za 8 section ndizo zimejaza wao, wanataka mteremko kama wabongo wengu tulivyo kupenda vya dezo.
 
Pengine mie ni babu yako ki umri. Una mengi ya kujifunza kutoka kwangu, nimeiona dunia kabla yako. Hilo nna uhakika.

Nimeshakuambia humfahamu unayeongea naye sasa hivi, bora kuachana na hayo tuendelee na michango, kwani wenye akili timamu na wastaarabu tunajadili maudhui ya habari, hatujadili neno kwa neno kwenye sentence. Si wewe tu tatizo hilo ni wabongo wengi, na siona sababu ya kupoteza muda wangu kwa hilo.
 
Nna uhakika darsa umelipata na hautorudia makosa, sikufahamu wala sina haja kukufahamu hunisaidii sikusaidii. Sana sana ntakurekebisha au utanirekebisha kwenye maandishi.

Peace. usitokwe na povu, nilidhani uta appreciate kurekebishwa kumbe ni wale wale ambao wanafikiri wanajuwa kila kitu. Pole sana na nisamehe kama nimekukwaza kwa kukurekebisha.
 
150214817-jpg_164813.jpg

Marekani hawa afrikan american ndio wanaoinyanyua sana kimichezo, tazama hapa timu yao ilikuwa na mzungu mmoja au wawili tu ambao ni reserve, wakati kikosi kamili kilichokamilika ni hawa jamaa wa rangi yangu.

Hao si rangi yako kihivyo kwa sababu African Americans wengi wamechanganya damu. Wengi sana wamechanganya na wazungu.
 
Back
Top Bottom