jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,247
- 1,634
- Thread starter
- #101
Wataje!!Mbona wapo wenye Skendo za Ushoga
Wataje!!Mbona wapo wenye Skendo za Ushoga
Namba ya studio +25576....tuma salam zaoHao wenye mapozi ya kike waambie wajirekebishe mapema
Namba ya studio +25576....tuma salam zao
Kashuka kimziki!!.... Akipanda tutampostMleta mada mbona hujamorodhesha Timbulo? Hii report fake hii.
Mastaa hawa warembo kupita maelezo umemuacha Bob Junior, Master J, Harris Kapiga na Edi Sultan. Huyu namba saba ondoa.Hawa ni Mastaa wa bongo wasio na skendo chafu yeyote
1.Hemed PhD
View attachment 407342
2.Vicent kigosi
View attachment 407343
3.Tino (bongo movie)
View attachment 407344
4.Daxx Cruz (Model)
View attachment 407345
5.Ommy Dimpoz (music)
View attachment 407347
6.Benny Kinyaiya
View attachment 407348
7.Prience fey (team wema)
View attachment 407346
Kama unabisha njoo hapa!! Ukabushe!!
Afadhari ushaamka ulete list Mpya hapaWE JAMAA WEWE ULIPOST UKIWA UNASINZIA AU
HAAAAAfadhari ushaamka ulete list Mpya hapa
Umemtaarifu mume wake lakini!! Maana hatutaki tukuletee matatizomi jamani MTU aje pm anipe no ya malaika pliz, me kbs anisaidie namba ya huyu mtu,nataka niongee na malaik plixzzzzzz
Mkuu naheshimu kilichoko,huyu dada nyimbo yake nareplay Mara nyingi cjawahi kufanya hivo.mm nimpate nimsifie kwa kauli yangu ntajckia tuUmemtaarifu mume wake lakini!! Maana hatutaki tukuletee matatizo
Hata ukimsifia kwa redio au TV sifa zitamfikia labda kama unamengineMkuu naheshimu kilichoko,huyu dada nyimbo yake nareplay Mara nyingi cjawahi kufanya hivo.mm nimpate nimsifie kwa kauli yangu ntajckia tu
Ww ndo shost ake nnhemed simpend tyu na nywele za kifuan akazitoe bhana
kwani yeye funfi?Ben kinyaiya si wanasema anashikaga UKUTA?