Massive savings on projectors

TITOP002

Member
Aug 15, 2009
29
1
SORRY! PRODUCTS SOLD OUT!!!!

YOU CAN PLACE YOUR ORDER IN ADVANCE FOR THE NEXT DELIVERY !!
PLEASE ALLOW TWO TO THREE WEEKS FOR THE COMMING DELIVERY.!!
FOR ALL YOUR ENQUIRIES CONTACT 0713846454.


Thank you.

 
Last edited:
Safi sana tutakutafuta specification ni nzuri, lakini jamani tunaotangaza humu kama tukifanikiwa tuikumbuke JF japo server iendelee kuserve.
Maana tuna make money kupitia JF mfano kama tukiweka Bango tutatoa pesa kwa ajiri ya matangazo.
Ni wazo tu!

Mnaotaka projector changamkieni mali hizo maana kama jamaa alivyosema ni kweli kabisa asikwambie mtu taa ya projector huwa ni isue kuipa kwavile kasema anazo taa kazi kwenu.
 
Very bad - jf admin wekeni sheria za matangazo na muwe mnawatambua wote wanaoendesha biashara zao kupitia jukwaa hili kwanini mtu anatangaza kitu bila makato yoyote ya kodi , bila kuwa na jina maalumu wala leseni lazima tubadilike jamani tuwe mfano kwa jamii
 
Eeh Shy usijali utapata kazi tu white house,mwashe jamaa afanye biashara yake usitake kujifanya una heshimu sana sheria ingali waliyo zitunga wenyewe wana zivunja.Mbona we mwenyewe ujaingia hapa kwa jina lako halisi?
 
Kama natumia jina bandia Hilo halikuhusu na sio jukumu lako kunihoji wala huna haki yoyote ya kuuliza kuhusu Jina langu - Jingine nachotaka kukuambia tu kama imefikia sasa hatua watu wanafanya biashara na kutangaza biashara zao humu kwanini anatangaza kwa jina Bandia ? weka jina lako live contact zako na Taarifa zako zingine kama kweli wewe ni mkweli na unataka ushindani

Huyu aliyeweka tangazo ni mkwepa kodi na mbadhilifu mpenda vya bure , anapoweka tangazo kama hili Jamhuri haifaidiki na chochote , halafu utamwona yuko jukwaa la siasa anaongelea ufisadi nchi haina maendeleo wakati yeye hajioni huku kafanya nini hatuwezi kuendelea kwa kuendekeza uendawazimu kama huu
 
mbona mnamsakama sana jamaa huyu, moderator na owner walishakubali kuweka matangazo ya aina yoyote hapa BURE!, kwa sababu za msingi kabisa 'kupromote' muda ukiwadia, kila mtu atalipia jamani. hivyo basi yeye akiona ni vizuri kwa sasa kkutoa chochote kama shukrani, inshallah atabarikiwa, siyo kumtukana kana kwamba AMEVUNJA SHERIA!!!!!
 
Model: clearco HD9000 Model -with latest LCD technology.
Brightness: 1800 lumen
Lamp life:8000 hrs(New technology)
projection distance :1.5 t0 6metres
projection size:45-150(massive)zoom function equipped.
interfaces video inputs:pc,tv,video,audio,S video,scart adapter available.
Other functions: keystone correction,auto turn off,built-in TV tuner,ZOOM function.
Hii ndio Model ambayo inatumika sana kwasasa kwasababu ya ubora wake na unafuu wa bei ya Taa yake.
Taa zake zinapatikana kwa wingi.
Recommended for BUSINESS(Harusi/kuonyesha mpira nakadhalika) AND PRESENTATION(makongamano,mashuleni n.k)

For further information contact our Agent in Dar Essalaam on
0713846454 or Email : maddidy@hotmail.co.uk.



Thank you.

nipe bei yake muzee, nahitaji sana moja tu! tafadhali, pia usimaindi sana maneno utayokutana nayo humu, neno la muhimu skiza toka kwa mode
 
Very bad - jf admin wekeni sheria za matangazo na muwe mnawatambua wote wanaoendesha biashara zao kupitia jukwaa hili kwanini mtu anatangaza kitu bila makato yoyote ya kodi , bila kuwa na jina maalumu wala leseni lazima tubadilike jamani tuwe mfano kwa jamii

Sawa Shy ila na wewe unakumbushwa pia kuchangia chochot ili JF iendelee kua hewani.
 
Unamaanisha wale wanaochangia kidogo ndio matangazo yao huwa huru kama hivyo ? basi tuwekane wazi kwamba kama umechangia unaweza kutangaza bidhaa zako zote na chochote kikitokea uongozi wa jf unahusika moja kwa moja kwa sababu hakuna muongozo wa matangazo ya biashara ndani ya forum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom