Massage. . . .

Ni kweli lakini wabeijing bora wajue kwamba wasipotoa watu watatafuta huko kwenye vibanda mitaani.

Ni nzuri kufanyiwa nyumbani kwakweli kwakua more often than not mnaweza msimalize zoezi ukamrukia lol

Ndio maana tunakumbushana/elezana.

Sema na nyie wanaume muwe mnawaambia wenzenu kama kuna vitu mngependa wawe wanafanya kwaajili yenu. Sio mnakaa kimya, mnabaki kusikia kwingine alafu badala ya kirudisha somo makwenu mnaenda kusaka huko huko nje anaejua tayari. Mueleze, kama hajui muongoze mpaka afikie kiwango unachotaka wewe.
 
Lizzy,aika ma.

Karibu ma!!
...Da' lizzy naomba nije hapo kwa ajili ya mazoezi kidogo plzzzz!!
ila kidogo cjaelewa, iyo masaji unayoelezea hapo juu ni kule kwenye centre zetu?
ama iyo masaji ya chumbani?
afu kwenye kibuluu ndio sehemu niipendayo zaidi ktk masaji,
pekundu, cjaelewa freshi..unamaanisha?

Hahahha Bagah mi naongelea katikati ya mgongo, kwenye kale kama mtaro kama mtu sio bonge.

Alafu ni ya chumbani bana, though kama ni kumsaidia mtu kupunguza maumivu yaweza kuwa ya sebuleni.
 
kwel kabisa ninakubaliana na wewe lizzy nitafanya hvyo lakn lazma niakikishe nipo likizo au kesho yake siend ofisin mana duuu.... Itakuwa mshike mshike
Hahahaha. . starehe jipe mwenyewe!!

Lizzy,

Sasa wakati nafanyiwa hiyo massage si natakiwa nitoe nguo zote?

Bana wewe. . .sio lazima.Keep your pants on (bukta, boxer).
 
Wengine tupo vijijini na hatuna girlfriend wala mke what should we do?

Unasubiria mpaka uwe nae!!
ila kama mikono yake ni migumu mwanangu,...tutatoana ngozi bana,...
hata kama anapaka mafuta, lakini kiganja nacho kinautamu wake kikiwa kilaiiini!!

Hahahaha. . . mikono migumu kupitiliza kweli inaweza ikafanya zoezi likawa chungu.
 
hili zoezi haliwezi fika mwisho mkiwa salama
lazima likatizwe tu.

Japo ni nzuri sana.

Ohhh linaweza sana kama mmoja akiamua kumdhibiti mwenzake. . na kufika mwisho will do wonders.
 
Eeh Lizzy inaelekea unamhudumia shemeji ipasavyo, ashindwe yeye..

Mimi kila wiki naenda kufanya massage ya kulipia baada ya majukumu ya wiki nzima. Yani mwili na akili hurelax, sipendi mtu akiongea wakati ananimassage bali mziki tulivu kwa sauti ya chini. Pia nakuwa mtupu ila navaa special pants, taulo linafunika makalio na sifanyagi ile ya happy ending..ni massage ya kawaida. Huwa nahisi tofauti nikimaliza massage.

Nimejifunza kumfanyia mtu massage, ni rahisi ukiifanya ipasavyo na kukanda viungo vyote inavyotakiwa. kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo.
 
Ni kweli lakini wabeijing bora wajue kwamba wasipotoa watu watatafuta huko kwenye vibanda mitaani.

Ni nzuri kufanyiwa nyumbani kwakweli kwakua more often than not mnaweza msimalize zoezi ukamrukia lol
Ila kwa nyumbani yataka muwe na muda wa hivyo vitu otherwise hakunaga...
 
Eeh Lizzy inaelekea unamhudumia shemeji ipasavyo, ashindwe yeye..

Mimi kila wiki naenda kufanya massage ya kulipia baada ya majukumu ya wiki nzima. Yani mwili na akili hurelax, sipendi mtu akiongea wakati ananimassage bali mziki tulivu kwa sauti ya chini. Pia nakuwa mtupu ila navaa special pants, taulo linafunika makalio na sifanyagi ile ya happy ending..ni massage ya kawaida. Huwa nahisi tofauti nikimaliza massage.

Nimejifunza kumfanyia mtu massage, ni rahisi ukiifanya ipasavyo na kukanda viungo vyote inavyotakiwa. kuanzia kichwani hadi kwenye unyayo.

Hahaha. . hamna kitu BJ.

Ohhh massage ni very relaxing. Hata kama mtu una mawazo na stress kibao unapata unafuu.Sema watu wanaona ni time consuming wakati muda wa kushinda bar na kuzunguka kwa mashoga zao wanao.

We endelea kujijali mwaya, iwe inatoka kwa shemeji au wenye kazi zao mapumziko ya mwili na akili muhimu.
 
Hua hampumziki?
Maana hii ni namna nyingine ya kupumzisha mwili na akili.
Mapumziko yapo ila siunajua muda dunia ya sasa mambo mengi yan labda weekend ya jumapili tena kwa mchana baada ya kutoka church.
Anyway kwa maamuzi inawezekana
 
Massage inaweza kutumika kumsaidia mtu kukabiliana na maumivu ya mwili (misuli mostly), relieve tension na kumfanya a-relax pia inaweza ikatumika kumsisimua mtu.

Kama nia ni kuondoa maumivu ya misuli ni vizuri zaidi ukatumia kitaulo na maji ya moto kiasi kumkanda badala ya mikono mikavu. Kwa nia ya kumfanya mtu arelax/asisimke tumia mafuta ya maji(yaweza kuwa brand yoyote ile, just make sure mhusika sio alergic na hicho kilochotumika kutengeneza hayo mafuta) yaliyopashwa kidogo.Sio yawe ya moto kiasi cha mwenzio kulalamika au wewe kuungua mikono bali kiasi tu.

Msihi mwenzako atulie na ujitahidi kuwa gentle. . usitumie nguvu.

Anza kwa kuweka mafuta mkononi alafu fikicha kidogo ili usimpake yakiwa na moto. Anzia shingoni kupaka mafuta taratiibu kisha shuka mpaka mabegani. Mkande kande na kumsugua taratibu shingoni, bega la kushoto na kulia alafu katikati. Rudia tena mara tatu huku ukiongeza pressure kila mara so you can get through those sore muscles if he/she has any.

Baada ya hapo paka mafuta mgongoni all the way mpaka kiunoni. Alafu anza kummassage mgongoni. . taratiiiibu on the sides na katikati huku ukiteremka taratibu mpaka kiunoni. Hapo waweza tulia for a few seconds alafu kama hutaki kumgusa vile chora mstari wa zig zag katikati ya mgongo wake three- four times. . .Down,Up and Down again.

Anza tena kumkanda toka chini kuelekea juu, huku pressure nayo ikiongezeka. Ile sehemu ya katikati yenyewe ibinye na vidole gumba vyote viwili kwa pamoja. Baada ya kurudia hiyo mara tatu,nne unganisha kwanzia shingoni mpaka kiunoni.

Next inama kidogo kwahiyo ukipumua anakua anahisi pumzi yako and you can smell the scent of his/her skin wakati unammassage upande wa juu wa mikono yake gently . . . Ukiinuka hapo teremka chini kabisa, piga magoti katikati ya miguu yake ili ummassage kwenye mapaja kidogo na miguuni.

Mpaka hapo mwili utakua umesharelax ila bado sehemu moja muhimu. Wewe ndo unakua mto wake. Kichwa chake anakiegemeza kwenye mabega yako, shingo zinakutana alafu unammassage kifuani gently.

Mahusiano yanaendeshwa kwa ushirikiano. . . usiwe mbinafsi.

ahsante dada....
 
mie mwenyewe sitaki lifike mwisho
ni kwenda na flow tu
sihitaji kujizuia

tutarudia hata mara mia, with the same rules follow the beat, no hestation

Ohhh linaweza sana kama mmoja akiamua kumdhibiti mwenzake. . na kufika mwisho will do wonders.
 
mie mwenyewe sitaki lifike mwisho
ni kwenda na flow tu
sihitaji kujizuia

tutarudia hata mara mia, with the same rules follow the beat, no hestation

Whatever works for you . . .muhimu usimpunje mwenzio.
 
Mapumziko yapo ila siunajua muda dunia ya sasa mambo mengi yan labda weekend ya jumapili tena kwa mchana baada ya kutoka church.
Anyway kwa maamuzi inawezekana

sasa kwa sisi wakristo tafakuri ya neno la mungu tutafanya saa nagapi .........................lol! kweli shetanai ana mbinu heheheheh!
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.
Umeshawahi kununua sex ukajua tofauti yake na ya mpenzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom