Masoud Kipanya

kipindi cha maisha plus kitakuwepo si kila mwaka ila kila baada ya miaka miwili..........na kitabaki kuwa pale pale TBC

Huu si ndo mwaka wa pili tangia jamaa wa mbeya achukuwe na ndo alikuwa wa mwisho?
 
Pia bora maisha plus kuliko Bongo star search inayokuwa na majaji wanafiki na wenye chuki binafsi
 
Masudi namkubali sana..ila kama anataka kuirudisha maisha plus aache uhuni aliokuwa anawafanyia washiriki,ata ivyo wamembeba sana kunyamazia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom