Masoud Kipanya na Fina Mango wa Clouds FM

Status
Not open for further replies.
mungu nibariki.....
nisiwe mtu wa kufuatilia ya watu...
niwe mtu wa kujali ya kwangu
please god help me to always
mind my bizness.
ameeeeen.
 
mungu nibariki.....
nisiwe mtu wa kufuatilia ya watu...
niwe mtu wa kujali ya kwangu
please god help me to always
mind my bizness.
ameeeeen.
Watu wenye muono kama wako mnakuwa mnanimaliza sana...siku zote hupenda kujigeza nao...mpo wachache sana dunia nzima hii...!

Mie nilifukuzwa kwa sababu ilionekana nalipwa hela nyingi compare to my colleagues, so I was fired so that they can employ new graduates at low pay. Mimekubali now I am doing something else and I am happy. Sio mwisho wa maisha but it is a new beginning maana serious speaking duka na label yake imemove to next level. Big up KP
 
matatizo yalianza siku walipokwenda kumuhoj balozi wa marekan ubalozin kwake kule

kukawa na matatizo ya sauti na hapo ikala kwao ila yalikuwepo pia makando kando mengine ya wao kutimuliwa.
kumbuka pia walikaidi kuandika barua za maelezo. mmoja tu ndo aliandika nadhani pj
 
mungu nibariki.....
nisiwe mtu wa kufuatilia ya watu...
niwe mtu wa kujali ya kwangu
please god help me to always
mind my bizness.
ameeeeen.

Wengine sisi ni wapenzi wa Jerry Springer. Ukisoma tu kichwa cha habari unaona kuwa ni MAJUNGU.
Wewe unayejifanya MLOKOLE, nenda kwa OPRAH!!! Tumain wee ishia jangwani peke yako. Kama huna MAJUNGU basi hutakiwi hata kufungua thread yenye heading ya kimajungumajungu. Hebu mwageni UMBEYA hata kama wa kutunganya, nyie leteni tu. Ndiyo uzuri wa thread za MAJUNGU.

MODS: Hii ipelekeni kwenye MAJUNGU, huko ndiko nyumbani kwake.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia wameomba nyongeza ya mshahara si unajua PB ni moja kati ya vipindi vinavyolipa sana pale Clouds alafu wao wanaambulia chenji while millions of money are obtained via wao.
Imagine kudhamini just an hour ni kama 4m kwa mwezi sasa PB ni 3hrs alafu unakuta each hour kuna wazamini 3!

Kingine ni kuwa wameshajenga jina so wanatingisha kibiriti thus wako kama kalikizo wakisubili majibu ya Maombi yao
walifanya kamgomo walipokwenda ku record kipindi bungeni dodoma baada ya kupewa speaker mbovu. si unajua makampuni ya waswahili wenye tamaa wanataka kazi ifanyike wakati vitendea kazi hakuna. fina na masoud wakagoma. gerald ndio alifanya kazi. wakapewa barua za kujieleza, ambazo nadhani hazikutosheleza management ya ma checkbob wa clouds, ikabidi waachishwe kazi. sababu hii nadhani haitoshelezi vile inaonekana kama walikua wanatafutwa siku nyingi, kisababu cha kijinga kilipopatikana ikabidi wafunge virago. masoud anatangaza radio times nadhani au magic, sina hakika. fina ndio sina habari zake. tatizo clouds wanafanya kazi kutafuta jina lakini si kwamba eti wanalipwa sana. kikubwa wanawatajirisha wale vigogo wawili, wachafuzi wa jiji.
 
nashindwa niseme nini
Kwa nini walipewa Mic mbofu?
 
Mbona yuko Times FM asubuhi (SUN RISE) na Mazula kipindi ni kizuri kwa kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom